Serikali yaombwa ruzuku Skauti
SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania02 May
Serikali yaombwa kuwabana waajiri
Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
Serikali yaombwa kutofunga misikiti Kenya
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Serikali yaombwa kusaidia chakula Ngorongoro
SERIKALI imeombwa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha inasaidia wananchi waishio katika Tarafa ya Ngorongoro ambao hivi sasa wanakabiliwa na uhaba wa chakula na kuchangia mahudhurio duni ya wanafunzi shuleni. Ombi...
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Serikali yaombwa kutenga fedha za kutosha
Na Tunu Nassor, Dar es Salaam
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi ya albino.
Lengo la kutekeleza programu za kuelimisha umma kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Bahame Nyanduga alisema tume pamoja na wadau walikubaliana kuwa...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Serikali sasa yaombwa kupunguza pembejeo
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-25QSaR885wo/U2EDuDgVMLI/AAAAAAACf78/CjNFcMJLKnc/s72-c/SAM_3900.jpg)
SERIKALI YAOMBWA KUJENGA VIWANJA VYA VOLLEBALL
![](http://4.bp.blogspot.com/-25QSaR885wo/U2EDuDgVMLI/AAAAAAACf78/CjNFcMJLKnc/s1600/SAM_3900.jpg)
Na Denis Mlowe, Iringa
Makamu Mwenyekiti wa Idara ya michezo ya Halmashauri ya Manispaa Iringa, Kalulu Nsumba ameiomba Serekali pamoja na wadau wa Michezo kusaidia upatikanaji wa vifaa vya mchezo na viwanja bora ili waweze kuuendeleza mchezo wa Volleball. Nsumba ameyasema hayo katika Bonanza la Mchezo huo lililoandaliwa na na Iringa Manispaa Sport Club lilofanyika kwa...
11 years ago
Habarileo18 Mar
Serikali yaombwa kuanzisha mradi wa kuchakata mazao
SERIKALI imetakiwa kuanzisha mradi wa mfano wa kuchakata mazao ya kilimo na hasa matunda katika ngazi ya mikoa. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Taasisi ya Tan Tanzania, Deusdedit Kizito wakati wa kuzungumzia fursa za mazao ya kilimo katika soko la dunia baada ya kuhudhuria maonesho ya bidhaa za Kilimo hai ya BioFach ya Ujerumani na mboga ya Berlin.
10 years ago
TheCitizen20 Apr
Ruzuku ya shule za msingi, sekondari kuiumbua Serikali
10 years ago
Habarileo30 Mar
Serikali kutoa ruzuku kwa shule binafsi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Serikali inaangalia iwezekano wa kuzipa ruzuku shule binafsi ili ziweze kujiendesha vizuri huku akizimwagia sifa shule za Tusiime kwa kuendelea kufanya vizuri kwa kutoa elimu bora na katika viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa.