Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kutoa ruzuku kwa shule binafsi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Serikali inaangalia iwezekano wa kuzipa ruzuku shule binafsi ili ziweze kujiendesha vizuri huku akizimwagia sifa shule za Tusiime kwa kuendelea kufanya vizuri kwa kutoa elimu bora na katika viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKATI UMEFIKA KWA SEKTA BINAFSI KUJENGA UTAMADUNI WA KUTOA RUZUKU ZA TAFI- DR.SHEIN

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifungua rasmi Jengo Jipya la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania { COSTECH} Ofisi ya Zanzibar liliopo ndani ya majengo ya zamani ya ilichokuwa kiwanda cha Sigara Maruhubi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Balozi Seif wa pili kutoka Kushoto akipata maelezo kutoka kwa Wataalamu  wa Chuo cha Utafiti Kizimbani  wakiongozwa na Said Suleiman Bakari jinsi zao la viazi vitamu linavyoweza kutumiwa vyema katika utengenezaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA APENDEKEZA SHULE BINAFSI ZIPEWE RUZUKU TOKA SERIKALINI

Mkuu wa shule ya sekondari Maua seminari ,Erastus Tesha akizungumza katika mahafali ya 33 kwa wahitimu wa kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo.Mgeni rasmi katika mahafali hayo ,mbunge wa kuteuliwa na rais ,Mh James Mbatia akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo pamoja na wageni waalikwa .
Wahitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Maua Seminari.Baadhi ya wageni waliofika shuleni hapo kwa ajili ya mahafali ya ndugu zao wanaotarajia kuhitimu kidato cha sita katika shule ya sekondary ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE JAMES MBATIA APENDEKEZA SHULE BINAFSI ZIPEWE RUZUKU TOKA SERIKALINI.

Wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Maua Seminary wakiimba wimbo wa taifa wakati wa mahafali ya kuhitimu kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo.Wahitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Maua Seminari.Mkuu wa shule ya sekondari Maua seminari ,Erastus Tesha akizungumza katika mahafali ya 33 kwa wahitimu wa kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo.Mgeni rasmi katika mahafali hayo ,mbunge wa kuteuliwa na rais ,Mh James Mbatia akizungumza na wanafunzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

RIPOTI YA CAG YAWAIBUA CUF, PROFESA LIPUMBA AAMUA KUTOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA RUZUKU MILIONI 300 ZILIZOHAMISHIWA AKAUNTI BINAFSI

Na  Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

SIKU moja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kukabidhi ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli , Chama cha Wananchi( CUF) kimeamua kujitetea baada ya ripoti hiyo kubaibainisha Chama hicho kilihamisha kwa fedha kutoka akaunti ya Chama hicho kwenda akaunti binafsi.

Akizungumza leo Machi 27,2020 ,Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba ametumia nafasi hiyo kuwaeleza waandishi wa habari hatua...

 

9 years ago

StarTV

 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi

Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.

Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.

Wadau hao akiwemo Mkurugenzi  wa taasisi ya kielimu ya THE...

 

10 years ago

TheCitizen

Ruzuku ya shule za msingi, sekondari kuiumbua Serikali

Dar es Salaam. Ikiwa imebaki miezi miwili mwaka wa fedha wa 2014/2015 umalizike, Serikali imetoa asilimia tisa tu ya ruzuku kwa shule za msingi na asilimia 22 ya ruzuku kwa shule za sekondari na siyo asilimia 100 kama ilivyoahidi chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imeelezwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kuendeleza ushirikiano na shule binafsi

SERIKALI imeahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wamiliki wa shule binafsi wanaoonyesha nia ya wazi kuisaidia kutoa elimu bora kwa Watanzania. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani