WAKATI UMEFIKA KWA SEKTA BINAFSI KUJENGA UTAMADUNI WA KUTOA RUZUKU ZA TAFI- DR.SHEIN

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifungua rasmi Jengo Jipya la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania { COSTECH} Ofisi ya Zanzibar liliopo ndani ya majengo ya zamani ya ilichokuwa kiwanda cha Sigara Maruhubi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Balozi Seif wa pili kutoka Kushoto akipata maelezo kutoka kwa Wataalamu wa Chuo cha Utafiti Kizimbani wakiongozwa na Said Suleiman Bakari jinsi zao la viazi vitamu linavyoweza kutumiwa vyema katika utengenezaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Mar
Serikali kutoa ruzuku kwa shule binafsi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Serikali inaangalia iwezekano wa kuzipa ruzuku shule binafsi ili ziweze kujiendesha vizuri huku akizimwagia sifa shule za Tusiime kwa kuendelea kufanya vizuri kwa kutoa elimu bora na katika viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa.
5 years ago
Michuzi
RIPOTI YA CAG YAWAIBUA CUF, PROFESA LIPUMBA AAMUA KUTOA UFAFANUZI WA FEDHA ZA RUZUKU MILIONI 300 ZILIZOHAMISHIWA AKAUNTI BINAFSI

SIKU moja ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kukabidhi ripoti ya ukaguzi wake ya 2018/19 kwa Rais John Magufuli , Chama cha Wananchi( CUF) kimeamua kujitetea baada ya ripoti hiyo kubaibainisha Chama hicho kilihamisha kwa fedha kutoka akaunti ya Chama hicho kwenda akaunti binafsi.
Akizungumza leo Machi 27,2020 ,Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba ametumia nafasi hiyo kuwaeleza waandishi wa habari hatua...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
METL yaongoza kutoa ajira sekta binafsi
10 years ago
Dewji Blog15 Nov
Sekta binafsi ihusishwe kutoa huduma za afya — Pinda
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Afya (Annual Health Summit ) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam Novemba 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Wazri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ipanue wigo wa utoaji huduma za msingi kwa kuishirikisha zaidi sekta binafsi nchini.
“Ninawasihi Waziri wa Afya na Naibu wake kwa vile ni wapya bado wabadili mtizamo wa wizara hii kwa...
5 years ago
Michuzi
SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA
Na. WAMJW-DSM
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).
Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...
11 years ago
Michuzi
MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

10 years ago
Mwananchi08 Nov
Wakati umefika wa kubadilisha mfumo wa elimu
10 years ago
VijimamboMchezo wa karata : umefika wakati kuwekewa kanuni zake.
MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM Mkoani wakisafiri kwenye mchezo huo kwenye maskani yao (picha na Haji Nassor, Pemba)