Wakati umefika wa kubadilisha mfumo wa elimu
Matokeo ya mitihani ya darasa la saba imetoka, tumejisifu kuwa tumefaulisha zaidi ya nusu ya wanafunzi waliofanya mtihani huo, lakini tunasahau kuwa waliofeli pia ni karibu ya nusu kwani waliofaulu ni 451,392 na waliofeli ni 356,693.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMchezo wa karata : umefika wakati kuwekewa kanuni zake.
MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM Mkoani wakisafiri kwenye mchezo huo kwenye maskani yao (picha na Haji Nassor, Pemba)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dy3vmM5JGAPfZHPKzLg41rcfB1IDBNUa-kV*2l1culUG4XcoH4NqCcH7AUlCrDNzL6sQsVIVFMJvNo7*VOWjwoQBpEtnTG8P/nyerere.jpg?width=650)
WAKATI UMEFIKA KILA MTANZANIA AWEKE MBELE AMANI NA UTAIFA
Uchaguzi mkuu wa nchi hapa kwetu tunaweza kusema ni shughuli inayofanyika kila baada ya miaka mitano. Uchaguzi una sehemu ndogo katika maisha yetu kuliko amani. Tukikaa bila amani tutavurugikiwa, tutashindwa kufanya uzalishaji na hakika tutakufa, kwa sababu ni lazima kula kila siku.
Jamii nyingi duniani zimeishi kwa muda mrefu bila kuwa na haki ya kushiriki katika uchaguzi na watu wake hawakufa kwa njaa. Kwa mantiki hiyo,...
5 years ago
CCM Blog31 May
ZARIF: UMEFIKA WAKATI WA DUNIA KUUNGANA KATIKA KUKABILIANA NA UBAGUZI WA RANGI
![Zarif: Umefika wakati wa dunia kuungana katika kukabiliana na ubaguzi wa rangi](https://media.parstoday.com/image/4bv9d72ebfcb3f1nwhl_800C450.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GI4zhW8GdcY/VbeI3a2pTvI/AAAAAAAHsQk/hJ-yk2vlOn4/s72-c/070.jpg)
WAKATI UMEFIKA KWA SEKTA BINAFSI KUJENGA UTAMADUNI WA KUTOA RUZUKU ZA TAFI- DR.SHEIN
![](http://1.bp.blogspot.com/-GI4zhW8GdcY/VbeI3a2pTvI/AAAAAAAHsQk/hJ-yk2vlOn4/s640/070.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wHzS7_q4zCE/VbeI134BBoI/AAAAAAAHsQc/sywpTNa-UB0/s640/092.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iCZv3PdpOmE/Xu3goWxVPSI/AAAAAAALuuA/5qQJeMQOpuEAQuMevvtlAMsVUovWs5MXQCLcBGAsYHQ/s72-c/kalage.jpg)
Haki Elimu Yatoa Tathmini ya Mfumo wa Elimu Baada ya Covid 19
![](https://1.bp.blogspot.com/-iCZv3PdpOmE/Xu3goWxVPSI/AAAAAAALuuA/5qQJeMQOpuEAQuMevvtlAMsVUovWs5MXQCLcBGAsYHQ/s640/kalage.jpg)
Tasisi isiyo ya Kiserikali ya Haki
Elimu Tanzania imesema katika kipindi hiki cha shule kufungwa nje ya utaratibu
rasmi wa likizo kimetufanya tugundue namna mfumo wetu wa utoaji elimu ulivyo na
mapungufu mengi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika
Hilo Dk.John Kalaghe alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu kupitia mkutano
uliandaliwa na tasisi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao wakati wa
mahadhimishoi ya siku ya mtoto wa Afrika.
Dk Kalaghe alisema kuwa...
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini
Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.
10 years ago
MichuziVETA WATAKIWA KUHAKIKISHA WANASIKILIZA MAONI YA WADAU WAO ILIKUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
10 years ago
GPLVETA YATAKIWA KUSIKILIZA MAONI YA WADAU ILI KUJUA MAHITAJI YAO SANJARI NA KUBADILISHA MITAALA YA ELIMU
Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudensia Kabaka wakati alipokuwa akizindua kongamano lililoshirikisha wadau kutoka sekta mbalimbali kwa ajili ya kujadili changamoto wanazozipata wadau hao. Mkurugenzi wa Veta, Mhandisi Zebadiah Moshi akiwa anaongea katika kongamano hilo…
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Mfumo dume ulivyowakandamiza wanawake wakati wa Uchaguzi Mkuu Zanzibar
Licha ya wanaharakati mbalimbali Tanzania kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya unyanyasaji wanawake, vitendo hivyo vinaendelea.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania