Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haki Elimu Yatoa Tathmini ya Mfumo wa Elimu Baada ya Covid 19

 Na Humphrey Shao, Dar es Salaam
Tasisi isiyo ya Kiserikali ya Haki
Elimu Tanzania imesema katika kipindi hiki cha shule kufungwa nje ya utaratibu
rasmi wa likizo kimetufanya tugundue namna mfumo wetu wa utoaji elimu ulivyo na
mapungufu mengi.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika
Hilo Dk.John Kalaghe alipokuwa akizungumza na wadau wa elimu kupitia mkutano
uliandaliwa na tasisi hiyo uliofanyika kwa njia ya mtandao wakati wa
mahadhimishoi ya siku ya mtoto wa Afrika.
Dk Kalaghe alisema kuwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Haki Elimu yazindua jopo la ushauri Uboreshaji Sekta Ya Elimu

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini imeshauriwa kuyafanyia kazi mapendekezo yanayotolewa na wadau wa elimu katika  sekta hiyo pamoja na  kuboresha Idara ya Ukaguzi Shuleni ili kuhakikisha elimu inatolewa kwa usahihi.

Imeelezwa kuwa kwa kuzingatia hayo kutasaidia kuboresha Sekta ya elimu nchini hususani katika Shule za Umma, ambazo baadhi ya wazazi wamekuwa wakikwepa kuwapeleka watoto wao kutokana na dhana ya kuwa na elimu duni.

 Katika uzinduzi wa jopo la washauri...

 

11 years ago

Mwananchi

Elimu ya ujasiriamali katika mfumo wa elimu nchini

Uzoefu na tafiti vinaonyesha vijana wanaohitimu katika ngazi mbalimbali za elimu nchini wanakabiliwa na changamoto ya kupata ajira.

 

10 years ago

Michuzi

KWIECO YATOA ELIMU YA HAKI ZA BINADAMU KWA WAANDISHI WA HABARI MKOANI KILIMANJARO...

Afisa Habari wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mkoani Kilimanjaro (KWIECO), Veronica Ollomi akifafanua jambo katika Warsha ya siku mbili kwa waandishi wa Habari  wa mkoa wa Kilimanjaro, kilichofanyika juzi mjini Moshi, kwa lengo la kuwapa mafunzo juu ya Haki za Binadamu na Sheria zake. 
 Washiriki wa Warsha ya Haki za Binadamu, waandishi wa Habari mkoani Kilimanjaro wakisikiliza kwa makini wakati wa uwasilishaji wa mada mbalimbali katika mafunzo hayo, yakiwemo swala la Wosia, Sheria ya...

 

9 years ago

Michuzi

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAFANYAKAZI WA TAASISI ZA ELIMU MKOANI TANGA

 Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya UTT AMIS, Daud Mbaga (katikati), akitoa mada kuhusu Uwekezaji wa Pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania uliyofanyika mjini Tanga. (Na Mpigapicha Wetu)Mwanachama mpya wa UTT AMIS akijaza fomu ya kuwa mwekezaji katika mfuko wa Uwekezaji wa pamoja wa umoja wa UTT AMIS.Washiriki wakisikiliza mada kuhusu faida za Uwekezaji wa Pamoja wakati wa mkutano wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KATIKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII TENGERU -KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA HAKI YA MLAJI DUNIANI


 Mmoja wa wanafunzi katika chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru akiuliza swali kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA walipoenda chuoni hapo kutoa elimu namana ya matumizi sahihi ya Mitandao pamoja na kuwajengea uelewa namna ya kutunza usiri wa faragha zao.Wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru wakifuatilia kile kinachoendelea kutoka mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA

 Mkuu wa Kanda ya Kaskazini Mhandisi Imelda Salum akizungumza na wanafunzi wa Chuo cha  Maendeleo ya Jamii Tengeru...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Uhamasishaji rasilimali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Sylvia Lupembe, alipotembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania Jumatano Tarehe 13 Mei 2015.

 

10 years ago

Mwananchi

Ni mwaka wa tathmini na fikra mpya kwenye elimu yetu

Wiki hii inahitimisha mwaka 2014 na kuanza rasmi Mwaka Mpya 2015. Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa neema zake katika mambo yote aliyotujalia mwaka mzima uliopita.

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKI ELIMU

Je wajua? Wanafunzi 286 wa darasa la pili hadi la nne wa shule ya Msingi Lukole wilayani Ngara wanasoma wakiwa chini ya mti kutokana na ukosefu wa madarasa. Shule hiyo yenye jumla ya wanafunzi 437 ina jumla ya madarasa 13 tu Chanzo: Daily News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani