ZARIF: UMEFIKA WAKATI WA DUNIA KUUNGANA KATIKA KUKABILIANA NA UBAGUZI WA RANGI
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa Twitter akiashiria mauaji ya kusikitisha yaliyofanywa na polisi ya Marekani dhidi ya Mmarekani mweusi ambaye hakuwa na silaha ya aina yoyote katika mji wa Minneapolis na kusema: Umewadia wakati wa dunia kuungana kwa ajili ya kukabiliana na ubaguzi wa rangi.Muhammad Javad Zarif ameashiria jinsi maisha ya Wamarekani weusi yanavyopuuzwa nchini Marekani na kuandika kuwa, kwa muda mrefu sasa suala la kupambana...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili21 Jun
Ubaguzi wa rangi Urusi: Hadithi kuhusu dhana potofu za ubaguzi wa rangi
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Yaliyosemwa na watu kuhusu ubaguzi wa rangi wakati wa maandamano
11 years ago
Michuzi
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Ubaguzi wa rangi upo Uingereza ?
11 years ago
BBCSwahili01 Oct
Ubaguzi wa rangi:Gyan alalama
11 years ago
BBCSwahili28 Jul
FIFA inachunguza ubaguzi wa rangi
10 years ago
Mwananchi08 Nov
Wakati umefika wa kubadilisha mfumo wa elimu
11 years ago
BBCSwahili22 Sep
Balotelli:polisi wachunguza ubaguzi wa rangi
11 years ago
BBCSwahili30 May