Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchezo wa karata : umefika wakati kuwekewa kanuni zake.


MCHEZO wa karata ambao umekuwa ukichezwa kama sehemu ya starehe, wakati umefika kwa Zanzibar kuweka kanuni na kuwekea kombe maalumu ili wachezaji waone faida yake, kama hawa wa maskani ya wazee wa CCM Mkoani wakisafiri kwenye mchezo huo kwenye maskani yao (picha na Haji Nassor, Pemba)

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

FAINALI YA MCHEZO WA BAO NA KARATA EACROTANALI ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akicheza bao la kete na mzee Abdalla Salim Kitambo wa Wilaya ya Mjini wakati alipofika kuyafunga mashindano ya fainali ya mchezo huo na mchezo wa Karata katika viwaja vya Eacrotanal leo

 Baadhi ya Timu mbali mbali za Michezo ya Bao la Kete na karata wakiwa katika fainali ya michezo hiyo iliyofanyika leo katika viwanja vya Eacrotanal Mjini Unguja,wakati mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakati umefika wa kubadilisha mfumo wa elimu

Matokeo ya mitihani ya darasa la saba imetoka, tumejisifu kuwa tumefaulisha zaidi ya nusu ya wanafunzi waliofanya mtihani huo, lakini tunasahau kuwa waliofeli pia ni karibu ya nusu kwani waliofaulu ni 451,392 na waliofeli ni 356,693.

 

9 years ago

Vijimambo

Dk Shein Mgeni Rasmin Fainali za Mchezo wa Bao na Karata Viwanja vya Ekrotanali Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Ekrotanali maisara kuhudhuria Fainali ya michezo ya Bao na Karata akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Sharifa Khamis. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akionesha ufundi wa kusafiri kupitia mchezo wa bao wa ufunguzi wa fainali ya michezo ya Bao na Karata iliofanyika katika viwanja vya Ekrotanali maisara Zanzibar katika mchezo huo Dk Shein, amefungwa...

 

9 years ago

GPL

WAKATI UMEFIKA KILA MTANZANIA AWEKE MBELE AMANI NA UTAIFA

Uchaguzi mkuu wa nchi hapa kwetu tunaweza kusema ni shughuli inayofanyika kila baada ya miaka mitano.  Uchaguzi una sehemu ndogo katika maisha yetu kuliko amani. Tukikaa bila amani tutavurugikiwa, tutashindwa kufanya uzalishaji na hakika tutakufa, kwa sababu ni lazima kula kila siku.
Jamii nyingi duniani zimeishi kwa muda mrefu bila kuwa na haki ya kushiriki katika uchaguzi na watu wake hawakufa kwa njaa. Kwa mantiki hiyo,...

 

10 years ago

Mwananchi

Saudia ilivokosea kuzicheza karata zake Yemen

Kuna baadhi ya watu wachache inapotajwa nchi ya Yemen kwa haraka huwakumbuka baadhi ya watu wa nchi hiyo wanaopenda kutafuna kwa saa nyingi majani ya miraa, wenyewe wanayaita Qat.

 

5 years ago

CCM Blog

ZARIF: UMEFIKA WAKATI WA DUNIA KUUNGANA KATIKA KUKABILIANA NA UBAGUZI WA RANGI

Zarif: Umefika wakati wa dunia kuungana katika kukabiliana na ubaguzi wa rangiWaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa Twitter akiashiria mauaji ya kusikitisha yaliyofanywa na polisi ya Marekani dhidi ya Mmarekani mweusi ambaye hakuwa na silaha ya aina yoyote katika mji wa Minneapolis na kusema: Umewadia wakati wa dunia kuungana kwa ajili ya kukabiliana na ubaguzi wa rangi.Muhammad Javad Zarif ameashiria jinsi maisha ya Wamarekani weusi yanavyopuuzwa nchini Marekani na kuandika kuwa, kwa muda mrefu sasa suala la kupambana...

 

10 years ago

Michuzi

WAKATI UMEFIKA KWA SEKTA BINAFSI KUJENGA UTAMADUNI WA KUTOA RUZUKU ZA TAFI- DR.SHEIN

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilifungua rasmi Jengo Jipya la Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia Tanzania { COSTECH} Ofisi ya Zanzibar liliopo ndani ya majengo ya zamani ya ilichokuwa kiwanda cha Sigara Maruhubi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Balozi Seif wa pili kutoka Kushoto akipata maelezo kutoka kwa Wataalamu  wa Chuo cha Utafiti Kizimbani  wakiongozwa na Said Suleiman Bakari jinsi zao la viazi vitamu linavyoweza kutumiwa vyema katika utengenezaji wa...

 

9 years ago

Michuzi

TFF YABAINISHA KATIBA NA KANUNI ZA LIGI KUU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

Baraka Kizuguto - Msemaji wa TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limebaini kuwepo kwa vitendo vyaa wanafamilia wa mpira wa miguu Tanzania kujihusisha na masuala ya Siasa wakiwa katika mavazi rasmi ya mpira ambayo yana nembo za vilabu na wadhamini wa Ligi.Katiba ya TFF ibara ya I (4) inatamka “TFF is neutral in matters of politics and religion. Discrimination of any kind against a country, private person or group of people on account race, skin colour, ethnic, national or social...

 

10 years ago

Vijimambo

Anko kakumbuka jezi wakati refa kamaliza mchezo

Anko kakumbuka jezi wakati refa kamaliza mchezoKwa mujibu wa Mtandao wa Google, Uncle ana miaka 25. Kama unasahau habari za magazeti, basi kwa mujibu wa Google, Uncle alikwenda kufanya majaribio na West Ham mwaka 2009. Na kwa mujibu wa Google, huo ndiyo ulikuwa mwaka ambao Uncle aliibuka kuwa mfungaji bora wa michuano ya Cecafa.
KWA mujibu wa Mtandao wa Google, Mrisho Ngassa, maarufu sana kwa jina la Uncle alizaliwa Aprili 12, 1989. Ina maana kwa mujibu wa Google, Uncle au Anko alizaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani