Dk Shein Mgeni Rasmin Fainali za Mchezo wa Bao na Karata Viwanja vya Ekrotanali Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Ekrotanali maisara kuhudhuria Fainali ya michezo ya Bao na Karata akiongozana na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Sharifa Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akionesha ufundi wa kusafiri kupitia mchezo wa bao wa ufunguzi wa fainali ya michezo ya Bao na Karata iliofanyika katika viwanja vya Ekrotanali maisara Zanzibar katika mchezo huo Dk Shein, amefungwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
FAINALI YA MCHEZO WA BAO NA KARATA EACROTANALI ZANZIBAR


10 years ago
VijimamboDK SHEIN MGENI RASMIN BARAZA LA EID EL HAJJ UKUMBI WA CHUO CHA AMALI MKOKOTONO MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.
10 years ago
MichuziMkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi Zanzibar
5 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR


10 years ago
GPLMKUTANO WA KAMPENI YA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN VIWANJA VYA MICHEWENI PEMBA
9 years ago
MichuziLigi Kuu ya Zanzibar: JKU yaitandika KVZ bao 2-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Amaan
Mchezo uliochezwa jioni mabao ya JKU yamefungwa katika kipindi cha kwanza na katika dakika ya 8 mshambuliaji wa Timu ya JKU Mbarouk Chande ameipatia bao timu yake katika dakika ya nane ya mchezo huo kipindi cha kwanza na Bao la ushindi la JKU limepatikana katika kipindi hicho cha kwanza katika dakika ya 35 ya...
10 years ago
VijimamboMGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KATIKA VIWANJA CHA GARAGARA MTONI ZANZIBAR,
10 years ago
Vijimambo
Makamu wa Rais Mgeni Rasmin Siku ya BAHARI Duniani Mkoani Mtwara leo.


10 years ago
Michuzi
DK. SHEIN ATOA VIFAA VYA MCHEZO WA RIADHA LEO

