Makamu wa Rais Mgeni Rasmin Siku ya BAHARI Duniani Mkoani Mtwara leo.
![](http://3.bp.blogspot.com/-B9-UUA0L0rg/VgGy-k_73LI/AAAAAAAB-bE/dIbsDjLk9Y8/s72-c/1.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa msemaji wa Wizara ya Mkiundombinu Zanzibar Nafisa Madai alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye kilele cha siku ya Bahari Duniani iliyofanyika kitaifa leo Sept 22,2015 katika Viwanja vya Bandari Club Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa msemaji kikosi cha zimamoto Edward kazingoma juu ya utendaji kazi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_UUA-4_yy4k/Xl0GdiOhPgI/AAAAAAALgZQ/VQzfVLu3G2UgqXEUimpw-n76MmE3Uih1gCLcBGAsYHQ/s72-c/mama-samia-suluhu..jpg)
MAKAMU WA RAIS MGENI RASMI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KITAIFA MKOANI SIMIYU
![](https://1.bp.blogspot.com/-_UUA-4_yy4k/Xl0GdiOhPgI/AAAAAAALgZQ/VQzfVLu3G2UgqXEUimpw-n76MmE3Uih1gCLcBGAsYHQ/s400/mama-samia-suluhu..jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari ofisini kwake Mjini Bariadi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema Maadhimisho haya yanaongozwa na kauli Mbiu "Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa na ya ...
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA LEO MCHANA
9 years ago
VijimamboMH. ISSA USI GAVU AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI UNAOFANYIKA KITAIFA MKOANI MTWARA
9 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA MTWARA HALIMA DENDEGO AFUNGUA MAONYESHO YA WIKI YA BAHARI DUNIANI MKOANI LEO MCHANA
11 years ago
Dewji Blog28 Apr
Makamu wa rais mgeni rasmi maadhimisho ya siku ya usalama na afya duniani, katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo April 28-2014, kwa ajili ya kuhutubia wananchi kwenye maadhimisho ya siku ya usalama na Afya Duniani.
Afisa mkuu mwandamizi wa mazingira katika mamlaka ya Bandari Thobias Sonda akimpa maelezo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, juu ya utumiaji wa vifaa vya...
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI MKOANI SIMIYU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-EhNN9pBkxys/VXGogHJ9CeI/AAAAAAAHcR8/BIWPhvKH13s/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, MKOANI TANGA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-EhNN9pBkxys/VXGogHJ9CeI/AAAAAAAHcR8/BIWPhvKH13s/s640/01.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RBiEO2hvF90/VXGok6SjnSI/AAAAAAAHcSk/Hccvswl6pzU/s640/1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WQUbL4QlA60/VHyjTdttiVI/AAAAAAADPOU/FSKDllq3KO8/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE
![](http://3.bp.blogspot.com/-WQUbL4QlA60/VHyjTdttiVI/AAAAAAADPOU/FSKDllq3KO8/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GLHgJ0yHvMI/VHyjVfxqLQI/AAAAAAADPOg/DGyCGhrCkyo/s1600/3.jpg)
9 years ago
MichuziSSRA YASHIRIKI MAONESHO YA SIKU YA BAHARI MKOANI MTWARA NA KUTOA ELIMU KWA MABAHARIA NA WAVUVI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII