Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuendeleza ushirikiano na shule binafsi

SERIKALI imeahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wamiliki wa shule binafsi wanaoonyesha nia ya wazi kuisaidia kutoa elimu bora kwa Watanzania. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuendeleza ushirikiano na NHIF

Serikali imesema itaendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) hususan za kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo pamoja na Mfuko wa Afya wa Jamii (CHF) ili wanufaike na huduma za matibabu.

 

9 years ago

Michuzi

Wasanii waaswa kuendeleza ushirikiano baina yao na Serikali

cb3Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akihutubia mbele ya wadau wa sanaa (hawapo pichani)wakati wa hafla ya kufunga maonyesho ya Siku ya Msanii iliyofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa mapema wikiendi hii jijini Dar es Salaam.cb2Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akisalimiana na Rais wa Shirikisho la wasanii wa Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifamba mara baada ya kuwasili katika...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yazipiga ‘stop’ shule binafsi

Dk Shukuru Kawambwa WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema Serikali itazinyang’anya leseni ya uendeshaji shule binafsi, ambazo zimeweka viwango vyake vya ufaulu kwa wanafunzi wanaosoma kwenye shule hizo, tofauti na viwango vya Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

‘Ufaulu shule za Serikali, binafsi haupishani’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaSERIKALI imesema pamoja na matokeo ya kidato cha nne kuonesha hakuna shule zake zilizoshika nafasi katika 10 bora, hali ya ufaulu ni nzuri na haipishani na zisizo za Serikali.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kutoa ruzuku kwa shule binafsi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Serikali inaangalia iwezekano wa kuzipa ruzuku shule binafsi ili ziweze kujiendesha vizuri huku akizimwagia sifa shule za Tusiime kwa kuendelea kufanya vizuri kwa kutoa elimu bora na katika viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

9 years ago

StarTV

 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi

Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.

Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.

Wadau hao akiwemo Mkurugenzi  wa taasisi ya kielimu ya THE...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA BIASHARA MKOA WA DODOMA LASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ILI KUONGEZA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUKUZA UCHUMI WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa Dodoma na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kufungua mkutano wa baraza hilo Mjini Dodoma Feb. 13,2015. Katibu Mtendaji wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC) Ndg. Raymond Mbilinyi akiwasilisha majukumu ya Baraza hilo katika kusaidia mabaraza ya biasara ya Mkoa na jinsi ya kukuza ushirikiano kati ya Serikali na Sekta binafsi wakati wa mkutao wa baraza la biashara la Dodoma Feb. 13, 2015. Wajumbe wa baraza la biashara Mkoa wa Dodoma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani