‘Ufaulu shule za Serikali, binafsi haupishani’
SERIKALI imesema pamoja na matokeo ya kidato cha nne kuonesha hakuna shule zake zilizoshika nafasi katika 10 bora, hali ya ufaulu ni nzuri na haipishani na zisizo za Serikali.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Serikali kuendeleza ushirikiano na shule binafsi
SERIKALI imeahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wamiliki wa shule binafsi wanaoonyesha nia ya wazi kuisaidia kutoa elimu bora kwa Watanzania. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni...
10 years ago
Habarileo28 Jan
Serikali yazipiga ‘stop’ shule binafsi
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema Serikali itazinyang’anya leseni ya uendeshaji shule binafsi, ambazo zimeweka viwango vyake vya ufaulu kwa wanafunzi wanaosoma kwenye shule hizo, tofauti na viwango vya Serikali.
10 years ago
Habarileo30 Mar
Serikali kutoa ruzuku kwa shule binafsi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema Serikali inaangalia iwezekano wa kuzipa ruzuku shule binafsi ili ziweze kujiendesha vizuri huku akizimwagia sifa shule za Tusiime kwa kuendelea kufanya vizuri kwa kutoa elimu bora na katika viwango vinavyokubalika kitaifa na kimataifa.
9 years ago
StarTV17 Nov
 Serikali yashauriwa kuangalia upya kodi kwa shule binafsi
Wadau wa sekta ya elimu nchini,wameishauri serikali kuangalia upya sera yake katika masuala ya kodi kwa shule binafsi ambazo zinakwaza mendeleo ya sekta hiyo huku mzigo mkubwa ukibaki kuzielemea shule hizo pamoja na wazazi.
Wakizungumzia maendeleo ya elimu kwa shule binafsi wadau hao wamesema kazi inayofanyika ni kwa niaba ya serikali kwa kuwasomesha watoto wa watanzania na kuondoa dhana ya kwamba ni eneo la kujitengenezea faida.
Wadau hao akiwemo Mkurugenzi wa taasisi ya kielimu ya THE...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-agRf4ZvQ2Zc/XvXvZ9B-psI/AAAAAAALvjw/hHlNlQLEOA4kU1OBMkC7y-ALI1CcDPU2gCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s72-c/unnamed+(16).jpg)
WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013
![](http://4.bp.blogspot.com/-fgiAkcyJqiQ/U2wdHIbadGI/AAAAAAAFgZI/xigMBBbjpbs/s1600/unnamed+(16).jpg)
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Siri ya ufaulu Shule ya Msingi ya Twibhoki
11 years ago
Habarileo19 Jul
Askofu Pengo akunwa ufaulu shule za kanisa
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St. Joseph Cathedral inayomilikiwa na kanisa hilo, huku akisikitishwa kuona waliofaulu kwa kiwango cha juu wote ni wavulana.
10 years ago
Habarileo01 Jul
Shule za kata zaimarika, zakaribia kongwe kwa ufaulu
WASTANI wa ufaulu kwa shule za sekondari za Serikali za kata umezidi kuimarika na kukaribia shule za Serikali ambazo ni kongwe.