Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shule za kata zaimarika, zakaribia kongwe kwa ufaulu

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles MsondeWASTANI wa ufaulu kwa shule za sekondari za Serikali za kata umezidi kuimarika na kukaribia shule za Serikali ambazo ni kongwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nini kimezisibu shule kongwe na za vipaji maalumu?

Hali bado ni taabani kwa shule kongwe za Serikali, zikiwemo zile zinazoelezwa kuwa ni kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalumu.

 

9 years ago

Mwananchi

Nsumba: Shule kongwe iliyoelimisha vigogo, sasa ipo taaban

Shule ya Sekondari Nsumba iliyopo Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza ni miongoni mwa shule kongwe nchini zilizoanzishwa kabla ya Tanganyika (Tanzania Bara), kupata uhuru.

 

10 years ago

Mwananchi

Siri ya ufaulu Shule ya Msingi ya Twibhoki

Ni mafanikio makubwa ya kitaaluma kwa shule iliyoshika nafasi ya 28 mwaka jana, kukwea hadi hadi nafasi ya kwanza mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

‘Ufaulu shule za Serikali, binafsi haupishani’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaSERIKALI imesema pamoja na matokeo ya kidato cha nne kuonesha hakuna shule zake zilizoshika nafasi katika 10 bora, hali ya ufaulu ni nzuri na haipishani na zisizo za Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu Pengo akunwa ufaulu shule za kanisa

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St. Joseph Cathedral inayomilikiwa na kanisa hilo, huku akisikitishwa kuona waliofaulu kwa kiwango cha juu wote ni wavulana.

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ATUA KWA WAMASAI SIMANJIRO,OPERATION YAKE YA KATA KWA KATA NI USHINDI WA KIMBUNGA KWA CCM

Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi Ndg.Mwigulu Nchemba akiwasili Jimbo la Simanjiro na kupokelewa na Mbunge mtarajiwa wa Jimbo hilo Ndg.Ole Sendeka mapema hii leo.Mwigulu Nchemba akimnadi Ole sendeka kwa wananchi wake,Kubwa ni Ujasiri wa Ole sendeka kwenye kutetea maslahi ya taifa,Ufuatiliaji wa Miradi ya maendeleo kama barabara zinazokwenda kujengwa kwa kiwango cha rami kuunganisha na mikoa inayopakana na SImanjiro.Ole Sendeka akizungumza na Wananchi wake wa kata ya Engesbert...

 

11 years ago

Mwananchi

Shule ya Msingi Mpago: Ufaulu mzuri chini ya miti

Unapofika katika kijiji cha Mpago kilichopo wilayani Biharamulo huwezi kuamini kama kuna shule hadi utakapoona wanafunzi waliovaa sare.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani