Askofu Pengo akunwa ufaulu shule za kanisa
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St. Joseph Cathedral inayomilikiwa na kanisa hilo, huku akisikitishwa kuona waliofaulu kwa kiwango cha juu wote ni wavulana.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboAskofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika
Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...
10 years ago
Michuzi
Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo



Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

10 years ago
Habarileo26 May
Waziri Uingereza akunwa na shule za serikali
SERIKALI ya Uingereza imesema imefurahishwa na kuridhika na utekelezaji wa mgango wa kuboresha elimu kwenye shule za msingi za serikali nchini.
10 years ago
Habarileo07 Apr
Askofu Pengo akaza uzi
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema msimamo wake kuhusu Katiba Inayopendekezwa uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Kardinali Pengo aweka wazi msimamo wa Kanisa
10 years ago
Mtanzania24 Apr
Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo
Na Joseph Lino, Dar es Salaam
HATIMAYE Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya yake kwa kueleza kuwa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa uchunguzi wa matatizo yake ya uti wa mgongo.
Kardinali Pengo pia amegusia nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwataka watanzania kumchagua rais fukara kuliko anayetafuta nafasi hiyo kwa rushwa.
Alitoa kauli hiyo katika mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha...
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Kardinali Pengo amjibu Askofu Gwajima
11 years ago
Habarileo20 Mar
Pengo- Niliogopa kuwa Askofu Dar
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema ya moyoni kwamba alipoteuliwa na Baba Mtakatifu Yohana Paulo II (marehemu) kuwa askofu wa jimbo hilo, aliogopa. Kardinali Pengo alisema alistaajabu kufika jijini na kupokewa vizuri na waumini na viongozi wa kanisa, akiwemo Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Elinaza Sendoro.
9 years ago
StarTV02 Jan
Rais Magufulia amtebelea Askofu pengo
Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo, aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam.
Rais Magufuli aliyeongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli, amempa pole Askofu Pengo na kumuombea afya njema ili aweze kuendelea na shughuli zake za kutoa huduma za kiroho kwa wananchi.
Akielezea hali ya Askofu Pengo, Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo...