Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pengo- Niliogopa kuwa Askofu Dar

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema ya moyoni kwamba alipoteuliwa na Baba Mtakatifu Yohana Paulo II (marehemu) kuwa askofu wa jimbo hilo, aliogopa. Kardinali Pengo alisema alistaajabu kufika jijini na kupokewa vizuri na waumini na viongozi wa kanisa, akiwemo Askofu Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Elinaza Sendoro.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo 
  Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam.  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...

 

10 years ago

Habarileo

Askofu Pengo akaza uzi

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali PengoASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema msimamo wake kuhusu Katiba Inayopendekezwa uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufulia amtebelea Askofu pengo

Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo, aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam.

Rais Magufuli aliyeongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli, amempa pole Askofu Pengo na kumuombea afya njema ili aweze kuendelea na shughuli zake za kutoa huduma za kiroho kwa wananchi.

Akielezea hali ya Askofu Pengo, Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kardinali Pengo amjibu Askofu Gwajima

>Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema, amemsamehe Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye hivi karibuni alimtolea maneno makali kutokana na kutofautiana naye juu ya msimamo wa viongozi wa Kikristo kuhusu Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Askofu Pengo: Nasumbuliwa na uti wa mgongo

pengoNa Joseph Lino, Dar es Salaam
HATIMAYE Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewatoa hofu Watanzania kuhusu afya yake kwa kueleza kuwa anaendelea vizuri baada ya kufanyiwa uchunguzi wa matatizo yake ya uti wa mgongo.
Kardinali Pengo pia amegusia nafasi ya urais katika Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwataka watanzania kumchagua rais fukara kuliko anayetafuta nafasi hiyo kwa rushwa.
Alitoa kauli hiyo katika mahafali ya Saba ya Chuo Kikuu cha...

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

11 years ago

Habarileo

Askofu Pengo akunwa ufaulu shule za kanisa

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameelezea kufurahishwa na ufaulu mzuri wa wanafunzi wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya St. Joseph Cathedral inayomilikiwa na kanisa hilo, huku akisikitishwa kuona waliofaulu kwa kiwango cha juu wote ni wavulana.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la Maaskofu juu ya Katiba pendekezwa

pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani