Kardinali Pengo aweka wazi msimamo wa Kanisa
Siku mbili baada ya Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kutoa waraka wa kulitaka Bunge Maalumu la Katiba kutopuuza mapendekezo ya muundo wa serikali tatu, Askofu Mkuu wa Jimbo Mkuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka na kusema msimamo huo siyo wa Kanisa Katoliki nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-h_ywRM3aGIg/VSTRi4h9N5I/AAAAAAAACDM/UQDLfV09yhk/s72-c/Caridnal%2BPengo.jpg)
Kardinali Pengo aweka msimamo
Aonya matukio ya ugaidi si mambo ya dini Awataka wanaoamini wasambaze ujumbe
NA MWANDISHI WETU
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema msimamo wake kuhusu katiba inayopendekezwa, uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.
![](http://4.bp.blogspot.com/-h_ywRM3aGIg/VSTRi4h9N5I/AAAAAAAACDM/UQDLfV09yhk/s1600/Caridnal%2BPengo.jpg)
10 years ago
VijimamboAskofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika
Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...
11 years ago
Mwananchi20 Mar
Ni utumishi uliotukuka wa Kardinali Pengo
9 years ago
Habarileo02 Jan
Kardinali Pengo alazwa Muhimbili
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo03 Jan
Afya ya Kardinali Pengo yaimarika
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Kardinali Pengo amjibu Askofu Gwajima
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Mkapa, Kardinali Pengo waalikwa Tamasha la Pasaka
RAIS wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycap Kardinali Pengo ni miongoni mwa wageni waalikwa wa Tamasha la Pasaka litakalofanyika Aprili 5 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, alisema amewaalika viongozi hao kwa lengo la kufikisha ujumbe kwa jamii kubwa ndani na nje ya nchi kutokana na kushirikisha wasanii wa ndani na nje ya nchi.
Msama alisema wanaendelea...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Gwajima akana kortini kumtusi Kardinali Pengo
11 years ago
Habarileo13 Mar
Rais Kikwete amtumia rambirambi Kardinali Pengo
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Muadhama Polycarp Kardinali Pengo na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kutokana na kifo cha Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.