Gwajima akana kortini kumtusi Kardinali Pengo
>Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amekana kumtolea lugha chafu Askofu wa Kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati akisomewa maelezo ya awali katika Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania22 Jul
Gwajima akana kumtusi Pengo
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mchungaji Josephat Gwajima, amekana kumtusi Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Gwajima alikana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Wilfred Dyansobela, baada ya kusomewa maelezo ya awali ya kesi inayomkabili.
Akisoma maelezo hayo, Wakili wa Serikali Joseph Maugo, alidai mshitakiwa ni Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika viwanja vya Tanganyika...
10 years ago
GPL
GWAJIMA AMETUMWA KUMTUSI PENGO
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Kardinali Pengo amjibu Askofu Gwajima
10 years ago
Uhuru Newspaper
Kardinali Pengo aweka msimamo
Aonya matukio ya ugaidi si mambo ya dini Awataka wanaoamini wasambaze ujumbe
NA MWANDISHI WETU
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema msimamo wake kuhusu katiba inayopendekezwa, uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.

11 years ago
Mwananchi20 Mar
Ni utumishi uliotukuka wa Kardinali Pengo
9 years ago
Habarileo02 Jan
Kardinali Pengo alazwa Muhimbili
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Habarileo03 Jan
Afya ya Kardinali Pengo yaimarika
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Kardinali Pengo aweka wazi msimamo wa Kanisa
11 years ago
Habarileo13 Mar
Rais Kikwete amtumia rambirambi Kardinali Pengo
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Muadhama Polycarp Kardinali Pengo na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kutokana na kifo cha Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.