Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete amtumia rambirambi Kardinali Pengo

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Muadhama Polycarp Kardinali Pengo na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kutokana na kifo cha Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi kwa Rais Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India. Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Rais Kikwete kwa kufiwa na Dada yake




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India.
Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mtu muhimu kwa familia."Kwa masikitiko makubwa nakupa...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO IKULU DESEMBA 23, 2014

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amtumia salamu za rambirambi mkuu wa mkoa wa arusha kufuatia vifo vya watu katika ajali iliyotokea jijini humo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mheshimiwa Magesa Mulongo kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea tarehe 30 Oktoba, 2014 katika eneo la Makumira Wilayani Arumeru katika Mkoa wa Arusha na kusababisha vifo vya abiria 12 papo hapo na wengine kujeruhiwa. 
 “Nimeshtushwa na kusikitishwa sana kutokana na ajali hii mbaya ambayo kwa ghafla imeondoa uhai wa wenzetu 12 wasio na hatia kutokana na...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli amtumia Mwenyekiti wa TADWU  salamu za rambirambi

Rais John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama cha Madereva Tanzania TADWU kutokana na kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Rashid Salehe kilichotokea tarehe 20 Novemba mwaka huu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Katika salamu hizo Rais Magufuli amesema Taifa limempoteza mtu shupavu, mkweli, makini na aliyependa kupigania haki pale alipoamini kuwa panastahili haki hiyo na alithibitisha hilo kwa kupigania uanzishwaji wa Chama cha Madereva na kusimama...

 

9 years ago

Habarileo

Afya ya Kardinali Pengo yaimarika

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete anaendelea vizuri na anaweza kuruhusiwa wiki ijayo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Kardinali Pengo aweka msimamo


Aonya matukio ya ugaidi si mambo ya dini Awataka wanaoamini wasambaze ujumbe

NA MWANDISHI WETU
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, amesema msimamo wake kuhusu katiba inayopendekezwa, uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.

Muadhama Polycarp Kardinali PengoAkizungumza na Chama cha Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA), hivi karibuni, Askofu Pengo alitoa wito kwa waumini kuachwa huru...

 

9 years ago

Habarileo

Kardinali Pengo alazwa Muhimbili

ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni utumishi uliotukuka wa Kardinali Pengo

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ameadhimisha miaka 30 ya uaskofu, 43 ya upadri na miaka 16 ya ukardinali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani