RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO IKULU DESEMBA 23, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboAskofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika
Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/J2SsCM-DCjk/default.jpg)
10 years ago
Michuzi16 Mar
11 years ago
Habarileo13 Mar
Rais Kikwete amtumia rambirambi Kardinali Pengo
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Muadhama Polycarp Kardinali Pengo na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kutokana na kifo cha Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm843eLeNvItcLqlXOyxO-ipFF17AV7L-1zQi3PHBOK6gz7GB1S7nfbstcBlhXet8xCZ7q0DiBX8NAWp157CTXjU/ludewa.jpg)
RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-dRp69J1mCBw/U57ntsbYtrI/AAAAAAACjhY/o36cG1m3NXo/s72-c/ludewa.jpg)
RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA VIONGOZI WA CCM WA LUDEWA LEO IKULU DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-dRp69J1mCBw/U57ntsbYtrI/AAAAAAACjhY/o36cG1m3NXo/s1600/ludewa.jpg)
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI
10 years ago
IPPmedia07 Apr
Polycarp Cardinal Pengo
IPPmedia
IPPmedia
Polycarp Cardinal Pengo, Archbishop of the Dar es Salaam Diocese of the Catholic Church, yesterday defended his recent advice to the church to let the public decide freely whether to participate in the planned referendum for the Proposed Constitution.
Pengo affirms stand on Katiba voteDaily News
all 3