RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo alielazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake. PICHA NA IKULU
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboAskofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo hali ya afya yake inaendelea kuimarika
Na Goodluck Eliona, Mwananchi Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema kuwa hali ya afya yake inaendelea kuimarika. na kuwataka waumini kuendelea kumwombea.Akizungumza kwenye Misa Takatifu ya Mavuno na shukurani kwa jimbo hilo, iliyofanyika jana Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, Pengo alisema ameamua kuitumia siku...
5 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT: Rais Magufuli amjulia hali Mzee Mangula Hospitalini Muhimbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 29 Februari, 2020 amemtembelea na kumjulia hali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula ambaye amelazwa katika chumba cha uangalizi maalum katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.Ndg. Mangula aliugua ghafla jana na kisha kukimbizwa hospitali kwa matibabu.



10 years ago
Michuzi16 Mar
9 years ago
Michuzi
NEWZ ALERT: MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,AMJULIA HALI BI HELLEN KIJO BISIMBA


9 years ago
Dewji Blog03 Jan
10 years ago
Vijimambo24 Dec
RAIS KIKWETE ATEMBELEWA NA MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO IKULU DESEMBA 23, 2014



10 years ago
IPPmedia07 Apr
Polycarp Cardinal Pengo
IPPmedia
IPPmedia
Polycarp Cardinal Pengo, Archbishop of the Dar es Salaam Diocese of the Catholic Church, yesterday defended his recent advice to the church to let the public decide freely whether to participate in the planned referendum for the Proposed Constitution.
Pengo affirms stand on Katiba voteDaily News
all 3
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania