Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati wa hafla ya Siku ya Elimu mkoani Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo washindi wa mitihani ya taifa kwa mwaka 2013 kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi wametunukiwa vyeti na zawadi mbalimbali kutokana na ufanisi wao katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya wiki ya elimu mkoa wa Njombe yafana

unnamed

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.

unnamed (1)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa katika wilaya yake.

unnamed (2)

Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi (Katikati) akipata maelezo kutoka kwa mwalimu aliyetunga vitabu kama njia mojawapo ya kuinua elimu mkoani humo, wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya makete...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali kuwazawadia wanafunzi na shule za msingi na sekondari zinazofanya vizuri

ShukuruKawambwa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.

Na Mwandishi Wetu

Katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itawazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam Jumatatu April 14, 2014 na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa alipozungumzia na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Wiki ya Elimu.

Kwa mujibu wa Dkt....

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dr Aggrey Mlimuka akizungumza na wafanyakazi wa mfuko wa pensheni wa PPF wakati wa sherehe ya Mwaka iliyofanyika katika Ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Jijini Dar Es Salaam Mwishoni mwa wiki Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dr Aggrey Mlimuka akiwapongeza Vijana wanaounda kundi la The Voice ambao ni wasanii wa fani ya Akapela mara baada ya Kutoa burudani katika sherehe ya Mwaka ya Mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

SHULE ZA BINAFSI ZAONGOZA MATOKEO YA MTIHANI WA UTIMILIFU (MOCK) KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KIDATO CHA NNE JIJINI DAR

 Afisa Elimu wa Mkoa wa Dar es salaam Bw.Raymond Mapunda akitoa matokeo ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari jijini Dar es salaam ambapo katika mtihani huo uliofanyika Mei 25 hadi Juni 12 mwaka huu shule Binafsi zimeongoza kwa ufaulu.
Na Aron Msigwa -MAELEZO.MATOKEO  ya mtihani wa Utimilifu kwa wanafunzi wanaosoma kidato cha nne katika shule za  Sekondari za jiji la Dare es  salaam yametolewa leo jijini Dar es salaam yakiwa na alama za juu  za ufaulu kwa wanafunzi...

 

5 years ago

Michuzi

ZOLA kuzawadia vifaa vya umeme wanafunzi wataofanya vizuri katika mitihani yao wilayani Kisarawe

Kampuni ya kuzalisha vifaa vya umeme wa jua ya ZOLA Electric Tanzania, ambayo zamani ilijulikana kama Mpower, imeeleza dhamira yake ya kusaidia jamii na kuunga mkono jitihada za serikali kuboresha sekta ya elimu ambapo imetangaza kuwazawadia vifaa vya nishati ya umeme wa jua wanafunzi wa kidato cha nne watakaofanya vizuri kwenye mtihani wa Taifa katika wilaya ya Kisarawe mwaka huu kupitia kampeni yake inayoendelea inayojulikana kama ‘Bukua na Ushinde’.
Akitangaza ofa hiyo ,Mkurugenzi Mkuu wa...

 

10 years ago

GPL

SHEREHE YA MWAKA YA MFUKO WA PENSHENI WA PPF YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM‏


Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dr Aggrey Mlimuka akizungumza na wafanyakazi wa mfuko wa pensheni wa PPF wakati wa sherehe ya Mwaka iliyofanyika katika Ukumbi wa Blue Pearl Ubungo Jijini Dar Es Salaam Mwishoni mwa wiki .
 Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Dr Aggrey Mlimuka akiwapongeza Vijana wanaounda kundi la The Voice ambao ni wasanii wa fani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani