Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kuwazawadia wanafunzi na shule za msingi na sekondari zinazofanya vizuri

ShukuruKawambwa

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa.

Na Mwandishi Wetu

Katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta ya Elimu, Serikali itawazawadia wanafunzi na shule zilizofanya vyema katika mitihani ya Elimu ya msingi na Sekondari.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam Jumatatu April 14, 2014 na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Shukuru Kawambwa alipozungumzia na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Wiki ya Elimu.

Kwa mujibu wa Dkt....

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Ruzuku ya shule za msingi, sekondari kuiumbua Serikali

Dar es Salaam. Ikiwa imebaki miezi miwili mwaka wa fedha wa 2014/2015 umalizike, Serikali imetoa asilimia tisa tu ya ruzuku kwa shule za msingi na asilimia 22 ya ruzuku kwa shule za sekondari na siyo asilimia 100 kama ilivyoahidi chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imeelezwa.

 

9 years ago

StarTV

Wizara ya elimu nchini yaombwa kuangalia upya mitaala ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

 

Wizara ya elimu nchini imeombwa kuangalia upya mitalaa ya kufundishia wanafunzi wa shule za msingi na sekondari ili iwe na uhusiano na mazingira halisi ya Watanzania.

Elimu inayotolewa sasa imekuwa ikilalamikiwa kuwa haimwezeshi mwanafunzi kumudu mazingira yanayomzunguka na badala yake inamsaidia kufaulu kutoka darasa moja kwenda jingine.

Katika mkutano huo Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, Dokta Fidelis Mafumiko ameyasema hayo jijini Dar es salaam katika mkutano wa kufunga...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati wa hafla ya Siku ya Elimu mkoani Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo washindi wa mitihani ya taifa kwa mwaka 2013 kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi wametunukiwa vyeti na zawadi mbalimbali kutokana na ufanisi wao katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MUHIMBILI 1988 WAIKUMBUKA SHULE YAO.

Mgeni Rasmi Balozi Kassimu Mwawado, akikata utepe ili kufungua Ofisi ya walimu wa shule ya msingi Muhimbili, iliyokarabatiwa na kuweka viti 29 na meza 8 na wanafuzi waliohitimu darasa la saba katika shule hiyo Mwaka 1988, pamoja na kiti na meza ya kisasa katika ofisi ya Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo katika hafra fupi iliyoandaliwa na wanafunzi hao ikiwa imehudhuliwa na walimu wa shule hiyo wa tangu mwaka 1978. Walimu wa Shule ya Msingi Muhimbili wakifurahia kupewa viti vipya pamoja na meza na...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28

 Mkuu wa shule ya sekondari ya Ifunda akizungumza na wanafunzi hao hivi karibuni. Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda. Uongozi wa shule ya sekondari ya Ufundi Ifunda  mkoani  Iringa  imewaita wanafunzi 28 kufika shuleni hapo octoba 2 ikiwa ni baada ya  shule  hiyo …

 

10 years ago

Vijimambo

FNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA SHULE KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MSASANI B

Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as Salaam. Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule , vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini...

 

11 years ago

GPL

DENTI SEKONDARI ABAKA MADENTI 3 WA SHULE YA MSINGI

Gladness Mallya na Deogratius Mongela
UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Katika hali isiyo kawaida denti wa kidato cha kwanza aliyetajwa kwa jina moja la Musa anadaiwa kuwabaka wanafunzi watatu wa shule ya msingi hadi kuwaharibu sehemu za siri. Mmoja wa watoto wanaodaiwa kubakwa na mwanafunzi wa sekondari.
Tukio hilo la karne lilitokea Kigogo-Luhanga jijini Dar ambapo denti huyo wa sekondari anayeishi na bibi yake...

 

10 years ago

GPL

JB: AELEZA MAISHA ALIYOPITIA SHULE YA MSINGI, SEKONDARI

Star wa Bongo Movies, Jacob Steven Mbura ‘JB’. JACOB Steven Mbura ‘JB’ anaendelea kusimulia historia ya maisha yake tangu utotoni hadi sasa. Ni simulizi ndefu na tamu isiyochosha kwa vimbwanga na kila aina ya mikasa ya kusisimua na kustaajabisha. Uhondo huu ulianza wiki iliyopita. Kwa wale waliokosa kwa bahati mbaya, tuliweka nukta kwenye kipengele cha michezo mbalimbali aliyoipendelea utotoni, ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Kibuteni Zanzibar

PG4A8205

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A8187

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka  jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani