Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pinda aweka jiwe la msingi shule ya sekondari Kibuteni Zanzibar

PG4A8205

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipoweka jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya Kibuteni  ya   Zanzibar ikiwa  ni moja ya ya shughuli za  Sherehe za Mapinduzi  ya Zanzibar Januari 10, 2015. Kulia kwake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A8187

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  wa Zanzibar,Ali Juma Shamhuna (wapili kulia) baada ya kuweka  jiwe la Masingi la  Shule  ya Sekondari ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC),...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda

PG4A6871

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika  kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na kushoto ni Mbunge wa Mwibara, Kange Lugora.  Wapili kulia ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasirra. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6869

PG4A6820

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika  katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA BUNDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika katika ziwa Victoria kwenye kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji, Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasira.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni...

 

9 years ago

Dewji Blog

PINDA aweka jiwe la msingi jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC jijini Dar

IMGS8031

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS8032

Mkurugenzi Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA UFUNDI GONJA MHEZA WILAYANI SAME.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria kufungua jengo moja wapo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoka katika moja ya jengo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza muda mfupi baada ya kuweka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za watumishi zililizojengwa na NHC Busokelo

mi1

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo jana.

mi2

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.

mi4

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi kwa furaha wakati akielekea ukingoni mwa Mto Kilombero kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Anaoongozana nao ni pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuri (kushoto kwa Rais), Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (kushoto) na Mama Salma Kikwete (nyuma ya Rais). Rais...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kitambaa wakati wa uwekaji jiwe la msingi la Ujenzi wa National Defence Headquarters huko Lugalo jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi  Jenerali Davis Mwamunyange,Watatu Kushoto ni Waziri wa Ulinzi Dkt.Huessein Ali Mwinyi na kulia ni Bwana Hu mwakiklkishi wa kampuni ya ujenzi kutoka China. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange akimuonyesha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mchoro wa majengo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani