RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO
![](http://1.bp.blogspot.com/-ONx6AI1isGk/U_WqfmiBIKI/AAAAAAAGBFY/RRB-6ksra0Y/s72-c/unnamed%2B(65).jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi kwa furaha wakati akielekea ukingoni mwa Mto Kilombero kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Anaoongozana nao ni pamoja na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuri (kushoto kwa Rais), Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (kushoto) na Mama Salma Kikwete (nyuma ya Rais).
Rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete aweka jiwe la Msingi Barabara Usagara -Kisesa,pia afunngua Daraja la Mabatini
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA-KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA — MELA-BONGA KM 188.15
11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOSPITALI YA WATOTO HUKO ZINGA BAGAMOYO
5 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA TTCL, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI BARIADI
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, jijini Arusha
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika Julai 30, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10