MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA TTCL, AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA STENDI BARIADI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kuzindua rasmi Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma kwa Wateja la Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu leo March 07,2020. kulia Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Waziri Kindamba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Bariadi Mkoani Simiyu wakati wa uzindua rasmi Jengo Jipya la Ofisi na Kituo cha huduma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-SfNStyFkufg/VZZrJGvuEbI/AAAAAAADvWA/H93f4WvDfZk/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA JENGO JIPYA LA OFISI YA TTCL, PEMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-SfNStyFkufg/VZZrJGvuEbI/AAAAAAADvWA/H93f4WvDfZk/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-oza3hZ14HiM/VZZrIuqE9ZI/AAAAAAADvV4/rA2QmDvl7Kw/s640/2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi katika jengo jipya la ofisi ya TTCL, Pemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, wakati alipowasili Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba Julai 3, 2015 kwa ajili ya Kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi za shirika hilo. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, jijini Arusha
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika Julai 30, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Jc1lJMhk750/VboqD25RJdI/AAAAAAAAtfM/EpVvSjXGxWo/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIA-MERERANI, JIJINI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Jc1lJMhk750/VboqD25RJdI/AAAAAAAAtfM/EpVvSjXGxWo/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-y7fnOnJmtMU/VboqGt0PzGI/AAAAAAAAtf0/2P16AM1tNFA/s640/2B.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-pMqFNOc6lzM/ViaVCJPAElI/AAAAAAAIBXU/isyw8IdMW7g/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-pMqFNOc6lzM/ViaVCJPAElI/AAAAAAAIBXU/isyw8IdMW7g/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ug4aTviLuwA/ViaVCPmw0HI/AAAAAAAIBXc/P4SwbQ-tYDs/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yrfSE-I94MQ/VhY5COYvkcI/AAAAAAAH9sc/g6hUQ74HrKA/s72-c/nhc66.jpg)
JK AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA MOROCCO SQUARE, AZINDUA FLETI ZA MINDU PLACE JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-yrfSE-I94MQ/VhY5COYvkcI/AAAAAAAH9sc/g6hUQ74HrKA/s640/nhc66.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-p9KB14YZMqw/VhY4Qcfby2I/AAAAAAAH9sE/7RNTdMskL0Q/s640/nhc63.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-NukZndf8CY4/VhY5e0lk9OI/AAAAAAAH9sk/D__xotvFtqQ/s640/nhc67.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-26Mx8B0r8fs/VhYuPQTOlEI/AAAAAAAH9mo/W271JUyDs7Q/s640/nhc25.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-jlC0dn2cjT4/ViN8cSqycSI/AAAAAAAECsg/tn9n2dMkD0I/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA VITUO VYA MAPUMZIKO NA VYOO VYA WASAFIRI KATIKA KIJIJI CHA IDETERO, MUFINDI-IRINGA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-jlC0dn2cjT4/ViN8cSqycSI/AAAAAAAECsg/tn9n2dMkD0I/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-u6kr5RA8bD4/ViN8cZTzK_I/AAAAAAAECsk/Q4dRwxIgE28/s640/2.jpg)
9 years ago
GPLRAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR
9 years ago
VijimamboRAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA MOROCCO SQUARE JIJINI DAR ES SALAAM