Rais Kikwete aweka jiwe la Msingi Barabara Usagara -Kisesa,pia afunngua Daraja la Mabatini
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kilometa 16 kutoka Usagara hadi Kisesa mkoani Mwanza leo.Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua daraja la Nyashishi lenye urefu wa mita 67 lililopo katika barabara ya Usagara Kisesa wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara kilometa 16 ya Kisesa hadi Usagara inayojengwa kwa kiwango cha lami leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA YA USAGARA-KISESA, PIA AFUNGUA DARAJA LA MABATINI
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA DARAJA LA KILOMBERO
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA — MELA-BONGA KM 188.15
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, jijini Arusha
Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika Julai 30, 2015. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KIA-MERERANI, JIJINI ARUSHA
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NATIONAL DEFENCE HEADQUARTERS
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AZINDUA MAJENGO YA TARURA NA ZIMAMOTO, AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA NA KUKABIDHI PIKIPIKI JIJINI DODOMA, LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Juni, 2020 amezindua majengo ya Ofisi za Makao Makuu ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara za Mji wa Serikali Makao Makuu Dodoma na kukabidhi pikipiki 448 za Maafisa Tarafa hapa nchini.
Sherehe za uzinduzi wa jengo la TARURA, uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa kilometa 51.2 za barabara za lami katika...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10