Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho ya wiki ya elimu mkoa wa Njombe yafana

unnamed

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.

unnamed (1)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa katika wilaya yake.

unnamed (2)

Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi (Katikati) akipata maelezo kutoka kwa mwalimu aliyetunga vitabu kama njia mojawapo ya kuinua elimu mkoani humo, wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya makete...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA NJOMBE YAFANA KATIKA VIWANJA VYA MABEHEWANI

Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akipata maelekezo kwenye banda la idara ya maji kuhusu bili za maji, katika wiki ya maji kimkoa katika viwanja vya mabehewani Makete mjini. Mkuu wa mkoa Kapt. Msangi akisikiliza maelekezo toka kwa mtaalamu wa maji, katikati ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro. Mkuu wa mkoa akipata maelekezo kuhusu mfumo mzima wa maji Makete mjini unavyofanya kazi.  Kikundi cha sanaa cha SUMASESU kikitumbuiza kwenye maadhimisho...

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE‏

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.…

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOANI DODOMA YAFANA SANA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabizi kikombe na cheti Naibu Waziri wa Habari Mhe. Juma Nkamiya kutokana na Wizara yake kuweza kufanya vizuri katika kutoa mchango wa kufanikisha maadhimisho ya siku ya Wiki ya Elimu Kitaifa yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabizi zawadi kwa wanafunzi Abi Sambuche wa Shule za Sekondari Lusinde...

 

11 years ago

Michuzi

WIKI YA ELIMU MKOA WA DAR ES SALAAM YAFANA, WANAFUNZI,SHULE ZA SERIKALI NA BINAFSI ZAFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA MWAKA 2013

  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akiongea na wadau mbalimbali wa elimu wa mkoa wa Dar es salaam wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari,wamiliki wa shule binafsi na wanafunzi wakati wa hafla ya Siku ya Elimu mkoani Dar es salaam leo.Katika hafla hiyo washindi wa mitihani ya taifa kwa mwaka 2013 kutoka shule za msingi na sekondari za serikali na binafsi wametunukiwa vyeti na zawadi mbalimbali kutokana na ufanisi wao katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa...

 

11 years ago

GPL

WIKI YA ELIMU YAFANA MJINI DODOMA

Askari wa Bend kutoka JKT wakiongoza maandamano ya wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali za Mkoa wa Dodoma.Maandamano yaliyoanzia Viwanja vya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere hadi Uwanja wa Jamhuri. Kikosi cha…

 

11 years ago

Michuzi

Wiki ya Elimu yafana sana mjini mkoani Dodoma

Mamia ya wanafunzi kutoka shule mbali mbali za Mkoa wa Dodoma waliandamana kuanzia Uwanja wa kumbu kumbu ya Mwl. Nyerere kupita Barabara ya Nyerere hadi Uwanja wa Jamhuri katika maadhimisho ya siku ya Elimu hapa Nchini.Uzinduzi ambao ulifanywa rasmi na Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katika Uwanja wa Jamhuri na kuhudhuriwa na mawaziri na manaibu wa Wizara zinazo shughulika na Elimu pamoja na wadau wa Elimu hapa Nchini. Picha na Deusdedit Moshi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma.04/05/2014

 

10 years ago

Habarileo

Maadhimisho Wiki ya Elimu kuanza leo

MAADHIMISHO ya Wiki ya Elimu yanatarajiwa kuanza leo mkoani Tabora na yatafikia tamati yake Mei 8 mwaka huu, huku kaulimbiu yake ikiwa ni Haki ya elimu kwa wote ifikapo mwaka 2010.

 

10 years ago

Michuzi

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DODOMA

 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani