Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maadhimisho Wiki ya Elimu kuanza leo

MAADHIMISHO ya Wiki ya Elimu yanatarajiwa kuanza leo mkoani Tabora na yatafikia tamati yake Mei 8 mwaka huu, huku kaulimbiu yake ikiwa ni Haki ya elimu kwa wote ifikapo mwaka 2010.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOANI DODOMA YAFANA SANA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabizi kikombe na cheti Naibu Waziri wa Habari Mhe. Juma Nkamiya kutokana na Wizara yake kuweza kufanya vizuri katika kutoa mchango wa kufanikisha maadhimisho ya siku ya Wiki ya Elimu Kitaifa yaliyoadhimishwa leo Mei 10-2014 Mkoani Dodoma. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabizi zawadi kwa wanafunzi Abi Sambuche wa Shule za Sekondari Lusinde...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE YAFANA, MKUU WA MKOA ATILIA MKAZO SUALA LA ELIMU

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akihutubia mamia ya wananchi waliofurika viwanja vya mabehewani wilayani Makete mkoani Njombe katika maadhimisho ya wiki ya elimu kimkoa.(Picha/habari na Edwin Moshi, Makete) Licha ya serikali kuendelea kutatua changamoto lukuki katika sekta ya elimu nchini, wadau wa elimu mkoani Njombe wametakiwa kuwajibika kila mmoja kwa nafasi yake, ili kuinua kiwango cha elimu mkoani humo kwa kuwa ni agizo la serikali hasa katika mkakati wa matokeo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya wiki ya elimu mkoa wa Njombe yafana

unnamed

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.

unnamed (1)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Josephine Matiro akizungumza katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa katika wilaya yake.

unnamed (2)

Mkuu wa mkoa wa Njombe kapteni mstaafu Aseri Msangi (Katikati) akipata maelezo kutoka kwa mwalimu aliyetunga vitabu kama njia mojawapo ya kuinua elimu mkoani humo, wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya ya makete...

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda kuzindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu mjini Dodoma

IMG_5332

Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Magreth Kinabo.

HASSAN SILAYO- MAELEZO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda kesho atazindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu Mjini Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa Habari Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene alisema kuwa Maadhimisho hayo yatakwenda sambamba na...

 

11 years ago

GPL

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOA WA NJOMBE‏

Baadhi ya wanafunzi wa shule zilizopo mkoa wa Njombe wakifurahia maadhimisho ya wiki ya elimu yaliyofanyika kimkoa katika wilaya ya Makete Aprili 11, 2014.…

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA WIKI YA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO ILALA

Mushi akiwa na baadhi ya viongozi wa usalama barabarani wa Wilaya ya Ilala. Mushi akisisitiza jambo kwa wananchi na wadau wa usalama barabarani.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya wiki huduma kwa wateja wa Tigo yaendelea leo

MWANGAZA

Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja wa tigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  yaliyofanyika Dula la Tigo Nkurumah.

ZENA

Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo.

MWANGAZA & NICKSON

Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  yaliyofanyika Duka la Tigo...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAZINDULIWA LEO MKOANI DODOMA

Nahodha wa timu ya mpira wa miguu ya small boys kutoka kijiji cha Nhinhi Chamwino Adson Amos akipokea zawadi ya Jezi kutoka kwa mgeni rasmi baada ya timu yake kuibuka mshindi kwenye mashindano ya uzinduzi wa Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa yaliyofanyika leo kwenye kijiji cha Nkwenda Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ambaye ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge akiwasilisha hotuba ya uzinduzi wa Maadhimisho...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Bilal afunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa mjini Musoma leo

Hussein Makame-MAELEZO, Musoma  MAKAMU wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohgamed Ghalib Bilal amesema kuwa kila ahadi ya Serikali iliyotolewa itatimizwa ili kuhakikisha kuwa inaacha kazi nyepesi kwa viongozi watakaokuja katika kuendeleza maendeleo ya Tanzania.  Dkt. Bilal aliyasema hayo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Mara yakiwa na Kaulimbiu isemayo “Maji kwa Mandeleo Endelevu.  Katika kilele cha Maadhimisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani