Pinda kuzindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu mjini Dodoma
Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya Wiki ya Elimu yatakayofanyika kitaifa mkoani Dodoma. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Magreth Kinabo.
HASSAN SILAYO- MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda kesho atazindua maadhimisho wa Wiki ya Elimu Mjini Dodoma.
Akizungumza na waandishi wa Habari Msemaji wa Serikali Bw. Assah Mwambene alisema kuwa Maadhimisho hayo yatakwenda sambamba na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI
11 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU MKOANI DODOMA YAFANA SANA LEO
11 years ago
GPLWIKI YA ELIMU YAFANA MJINI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji Maziwa ya Mama Kitaifa yafikia kilele mjini Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya...
11 years ago
MichuziWiki ya Elimu yafana sana mjini mkoani Dodoma
9 years ago
Vijimambo13 Oct
VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WASHIRIKI MDAHALO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA
10 years ago
MichuziWaziri wa Elimu atembelea Banda la Mamlaka ya Elimu Tanzania kwenye maonyesho ya Elimu mjini Dodoma
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10