Dkt. Bilal afunga Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa mjini Musoma leo
.jpg)
Hussein Makame-MAELEZO, Musoma MAKAMU wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohgamed Ghalib Bilal amesema kuwa kila ahadi ya Serikali iliyotolewa itatimizwa ili kuhakikisha kuwa inaacha kazi nyepesi kwa viongozi watakaokuja katika kuendeleza maendeleo ya Tanzania. Dkt. Bilal aliyasema hayo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maji Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mkoani Mara yakiwa na Kaulimbiu isemayo “Maji kwa Mandeleo Endelevu. Katika kilele cha Maadhimisho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KITAIFA WILAYANI MPWAPWA MKOA WA DODOMA LEO


10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA


10 years ago
Vijimambo23 Mar
HOTUBA YA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA

Mheshimiwa Prof. Jumanne A. Maghembe (Mb)Waziri wa Maji;
Mheshimiwa Prof. Peter MsollaMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji;
Mheshimiwa Kapteni Mstaafu Aseri MsangiMkuu wa Mkoa wa Mara;
Mheshimiwa Malika...
10 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI
10 years ago
Dewji Blog10 Aug
Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji Maziwa ya Mama Kitaifa yafikia kilele mjini Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya...
10 years ago
Vijimambo
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE


10 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAZINDULIWA LEO MKOANI DODOMA
