Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI MKOA WA DODOMA

 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015. Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma Machi 22, 2015.Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Tiisekwa aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa kijiji cha Mseta wilayani Kongwa wakati wa kilele cha maadhiisho ya wiki ya maji Mkoa wa Dodoma...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Ufaransa nchini, Malika Berak (wa pili kulia) wakikata utepe kwa pamoja kuashiria kuzindua rasmi mradi mkubwa wa maji wa Musoma mjini uliogharimu jumla ya Sh. Bilioni 41, wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Balozi wa Ufaransa nchini, Malika...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MHE. DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL KILELE CHA MAADHIMISHO YA 27 YA WIKI YA MAJI MKOANI MARA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wakati wa sherehe za Kilele cha maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji zilizofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mkendo mjini Musoma Mkoani Mara jana Machi 22, 2015.
Mheshimiwa Prof. Jumanne A. Maghembe (Mb)Waziri wa Maji;
Mheshimiwa Prof. Peter MsollaMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji;
Mheshimiwa Kapteni Mstaafu Aseri MsangiMkuu wa Mkoa wa Mara;
Mheshimiwa Malika...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU SPIKA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA WIKI YA WAUGUZI JIJINI DODOMA



Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa kilele cha  maadhimisho ya wiki ya Wauguzi katika   Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Bilinith Mahenge na kushoto kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Ernest Ebenzi.Baadhi ya Wauguzi wa   Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADHIMISHO YA 23 YA WIKI YA UNYONYESHAJI MAZIWA YA MAMA KITAIFA YAFIKIA KILELE MJINI DODOMA MWISHONI MWA WIKI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.Picha na John Banda wa Pamoja Blog. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI KITAIFA WILAYANI MPWAPWA MKOA WA DODOMA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtwisha ndoo ya maji Bi. Amina Rajab, mkazi wa Wilayani Mpwapwa, baada ya kuzindua rasmi Kisima cha Bomba la maji, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Wiki ya maji zilizofanyika Kitaifa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma leo, Machi 19, 2014.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi Kisima cha Bomba la maji sikiliza wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji Maziwa ya Mama Kitaifa yafikia kilele mjini Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba ya kuhitimisha Maadhimisho ya 23 ya wiki ya unyonyeshaji maziwa ya mama kitaifa kwenye viwanja vya Nane Nane Nzuguni Mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki.(Picha na John Banda wa Pamoja Blog).

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Margreth Mussa wa shule ya msingi Maria de Matias baada ya kushinda shindano la kuandika insha ya lishe na unyonyeshaji wakati wa sherehe za kilele cha Maadhimisho ya 23 ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani