Serikali yaombwa kutenga fedha za kutosha
Na Tunu Nassor, Dar es Salaam
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi ya albino.
Lengo la kutekeleza programu za kuelimisha umma kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Bahame Nyanduga alisema tume pamoja na wadau walikubaliana kuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania30 May
Serikali yashauriwa kutenga fedha nyingi za maendeleo
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshauriwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha za bajeti yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ushauri huo ulitolewa Dar es Salaam jana na wadau wa maendeleo walioshiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum, uliojadili iwapo fedha zilizotengwa katika sekta ya elimu na afya ya uzazi zinakidhi.
Akizungumza katika mdahalo huo, Ofisa Utafiti na Uchambuzi na Sera wa HakiElimu, Makumba Mwenezi, alisema licha ya Serikali kutenga Sh...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu
WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...
11 years ago
Mwananchi01 May
Idara ya malikale itengewe fedha za kutosha
11 years ago
Mwananchi17 May
Serikali sasa kutenga maeneo ya wafugaji nchini
5 years ago
MichuziMJADALA WAIBUKA TENA BUNGE LA EALA UKOSEFU WA FEDHA ZA KUTOSHA KUENDESHA JUMUIYA EAC
Mbunge wa bunge hilo George Odongo akiongea na wanahabari nje ya bunge.
Na Ahmed Mahmoud Arusha
Wabunge wa bunge la Afrika mashariki wameibua tena mjadala wa tatizo la ukosefu wa fedha za kutosha kutekeleza majukumu ya kila siku ya jumuiya na kuliomba Baraza la mawaziri kuona uwezekano wa kulipatia ufumbuzi wa kudumu tatizo hilo.
Akiongea wakati akichangia mjadala wa ripoti ya ukaguzi fedha hilo Mbunge wa EALA Mariamu Ussi alisema kuwa suala hilo ni changamoto ambayo inahitaji kupatiwa...
10 years ago
MichuziSerikali yatangaza kutenga bajeti zaidi kwenye tafiti za afya.
10 years ago
Mtanzania02 May
Serikali yaombwa kuwabana waajiri
Ramadhani Hassan na Pendo Mangala
WAFANYAKAZI Mkoa wa Dodoma wameishauri Serikali ihakikishe waajiri wanawaongezea mishahara kwa sababu malipo wanayolipwa sasa ni madogo.
Hayo yalisemwa jana na Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Mkoa wa Dodoma, Ramadhani Mwenda, wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri.
Mwenda alisema kipato cha ujira wa mshahara wa mwezi hakitoshi na kwamba mishahara ya watumishi ni...
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Serikali yaombwa ruzuku Skauti
SERIKALI imeombwa kutenga bajeti maalumu itakayotolewa ruzuku kwa vijana Skauti nchini ikiwa ni hatua mojawapo ya kuwaandaa kuwa na uzalendo. Ombi hilo lilitolewa na Kamishina Mkuu Msaidizi Programu za VijanaSkauti,...
9 years ago
StarTV27 Nov
Serikali yashauriwa kuwekeza vya kutosha
Idadi ya watalii wanaoingia nchini inaongezeka mwaka hadi mwaka na endapo Serikali itawekeza vizuri kwenye sekta hiyo itaokoa takribani shilingi bilioni tano ambazo zimekuwa zikipotea kutokana na uwekezaji mdogo.
Mpaka sasa idadi ya watalii wanaoingia nchini ni zaidi ya milioni moja na endapo Serikali itaongeza uwekezaji katika sekta hiyo ifikapo mwaka 2020 watalii wanatarajiwa kuongezeka mara mbili zaidi.
Jijini Dar es salaam katika mkutano wa mwaka Wizara ya Maliasili na Utalii imekutana...