Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu
WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Jamii yatakiwa kutambua mchango wa walemavu
JAMII imetakiwa kutambua, pia kuthamini mchango unaotolewa na watu wenye ulemavu kwani watu hao wana uwezo mkubwa katika kuchangia pato la familia na taifa. Ushauri huo ulitolewa na Agnes Machenje,...
11 years ago
Mwananchi06 May
Jamii yatakiwa kusaidia watoto wa kike Mwanza
11 years ago
Habarileo31 Dec
SMZ yatakiwa kutenga bajeti ya malaria
NCHI washiriki wa maendeleo na mashirika ya Kimataifa wameitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kuchangia katika mapambano dhidi ya malaria kwa kutenga bajeti ya fedha kwa mwaka na kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa moja kwa moja.
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Serikali yaombwa kutenga fedha za kutosha
Na Tunu Nassor, Dar es Salaam
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi ya albino.
Lengo la kutekeleza programu za kuelimisha umma kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Bahame Nyanduga alisema tume pamoja na wadau walikubaliana kuwa...
11 years ago
Habarileo06 Jan
CDA yatakiwa kuanzisha kitengo cha walemavu
MAMLAKA ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) imetakiwa kuona umuhimu wa kuanzisha kitengo kitakachoshughulikia watu wenye ulemavu.
10 years ago
Mtanzania30 May
Serikali yashauriwa kutenga fedha nyingi za maendeleo
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshauriwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha za bajeti yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ushauri huo ulitolewa Dar es Salaam jana na wadau wa maendeleo walioshiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum, uliojadili iwapo fedha zilizotengwa katika sekta ya elimu na afya ya uzazi zinakidhi.
Akizungumza katika mdahalo huo, Ofisa Utafiti na Uchambuzi na Sera wa HakiElimu, Makumba Mwenezi, alisema licha ya Serikali kutenga Sh...
10 years ago
MichuziFISA USTAWI WA JAMII NA MAENDELEO YA JAMII AKITEMBELEA MRADI WA SHIRIKA LA KUSAIDIA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA
.
9 years ago
BBCSwahili06 Sep
Israil yatakiwa kusaidia Wakristo zaidi
9 years ago
Habarileo16 Sep
TEA watumia bil 2/- kusaidia shule za walemavu
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imetumia zaidi ya sh bilioni 1.83 kwa ajili ya kusaidia shule na vyuo vyenye watu wenye ulemavu katika kipindi cha miaka mitatu.