Serikali yashauriwa kutenga fedha nyingi za maendeleo
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshauriwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha za bajeti yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ushauri huo ulitolewa Dar es Salaam jana na wadau wa maendeleo walioshiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum, uliojadili iwapo fedha zilizotengwa katika sekta ya elimu na afya ya uzazi zinakidhi.
Akizungumza katika mdahalo huo, Ofisa Utafiti na Uchambuzi na Sera wa HakiElimu, Makumba Mwenezi, alisema licha ya Serikali kutenga Sh...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Nov
Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto
SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.
Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.
Ndani ya...
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Serikali yaombwa kutenga fedha za kutosha
Na Tunu Nassor, Dar es Salaam
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) wameiomba Serikali kutenga fedha za kutosha kwa taasisi zote za Serikali zinazohusika na suala la kukomesha ukatili dhidi ya albino.
Lengo la kutekeleza programu za kuelimisha umma kuharakisha upelelezi na uendeshaji wa kesi za watu wanaodaiwa kufanya ukatili huo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa tume hiyo, Bahame Nyanduga alisema tume pamoja na wadau walikubaliana kuwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_dBr7FLEX24/Xm-b3vTzW7I/AAAAAAALj7w/xpnjaSq43qcGgvA3XmYan43tDIq0Xk4RACLcBGAsYHQ/s72-c/0c82b8ba-5145-42a8-a440-3531bad6450a.jpg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.
Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Serikali yabanwa kukosa fedha za maendeleo
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu
WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...
11 years ago
MichuziHALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA
11 years ago
Mwananchi17 May
Serikali sasa kutenga maeneo ya wafugaji nchini
10 years ago
MichuziSerikali yatangaza kutenga bajeti zaidi kwenye tafiti za afya.
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Wanamichezo waliolipwa fedha nyingi 2014