Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA

Katibu wa Kikundi cha Sayari, Bibi. Mwanaisha Ali akikabidhi Risala ya Kikundi hicho kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga mwishoni mwa wiki alipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kukagua maendeleo ya shughuli za vikundi vya Vijana Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi. Mwenyekiti wa Kikundi cha Sayari, Bw. Ramadhan Sungura akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Halmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana

Halmashauri zote nchini zinawajibika kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya vijana pamoja na kuwatengea vijana asilimia 5 ya mapato ya halmashauri husika kwa ajili ya kuwezesha shughuli hizo.
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo

SAM_0096

Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0090

Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.

SAM_0086

Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. SHEMDOE ATOA WITO KWA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANDA














Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Ludovick Nduhiye akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Veronica Nchango ramani ya eneo kwa ajili ya utekelezaji.

Sehemu ya eneo ambalo Wizara imekabidhiwa kwa ajili ya kufanya utekelezaji.

Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha “KOM Food products “ kinachomilikiwa na mzawa kikiwa katika hatua ya ujenzi.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiwa katika moja...

 

9 years ago

Habarileo

Halmashauri zatakiwa kutenga bajeti damu salama

SERIKALI imezitaka kila halmashauri nchini kuhakikisha kuwa inatenga bajeti ya kutosha kwa ajili ya damu ili kuwezesha wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kuipata na kuepusha kupoteza maisha ya watu hususan wajawazito na watu walioathirika na ajali.

 

10 years ago

Habarileo

Halmashauri zahimizwa kutenga maeneo ya ujenzi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa GhasiaSERIKALI imezitaka halmashauri zote nchini kutenga maeneo mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika.

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UWEKEZAJI

Na Munir Shemweta, WANMM SIMIYUNAIBU Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kuanza kupanga maeneo ya uwekezaji katika sehemu ambazo miji inakuwa kwa kasi.
Dkt Mabula alisema hayo jana katika mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali na sekta binafsi kuhusiana na changamoto za uwekezaji katika mkoa wa Simiyu.Alisema, kuna maeneo mengi nchini ambayo miji inaendelea kwa kasi hivyo halmashauri kupitia Wakurugenzi wake zinapaswa kuhakikisha...

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO MIRADI YA MAENDELEO

IMG-20140625-WA0044 Mkurugenzi  Mkuu wa wakala wa barabara (TANROADS) ,Injinia Patrick Mfugale akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa Arusha-Holili /TAVETA –VOI kilometa 122 pamoja na Arusha –bypass (km 42)  unaofadhiliwa na benki ya maendeleo ya Afrika (ADB)uliyofanyika  jijini Arusha IMG-20140625-WA0045-1 Mkuu wa Mkoa Arusha Magessa Mulongo akiongea katika uzinduzi huo IMG-20140625-WA0040Mwakilishi wa benki ya maendeleo ya Afrika (ADB), Injinia Patrick Musa akiongea kwenye uzinduzi huo
HALMASHAURI mbalimbali nchini kwa kushirikiana na wananchi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Ulaya (EU) yaupatia Umoja wa Mataifa Tanzania ruzuku ya Euro 200,000 kwa ajili ya shughuli za maendeleo hapa nchini

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez pamoja na  Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU), nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi (kulia) wakisaini hati ya mkataba wa kuyapatia Mashirika ya Umoja wa Mataifa Euro 200,000 kwa ajili ya Maendeleo Zitakazonufaisha wananchi wa Tanzania. (Picha Geofrey Adroph wa  pamoja blog)

Balozi wa Jumuiya ya  Ulaya (EU), nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi (kulia)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani