Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo
Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziHALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA
11 years ago
MichuziHalmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...
5 years ago
MichuziPROF. SHEMDOE ATOA WITO KWA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UJENZI WA VIWANDA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Ludovick Nduhiye akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Veronica Nchango ramani ya eneo kwa ajili ya utekelezaji.
Sehemu ya eneo ambalo Wizara imekabidhiwa kwa ajili ya kufanya utekelezaji.
Kiwanda cha kutengeneza vinywaji cha “KOM Food products “ kinachomilikiwa na mzawa kikiwa katika hatua ya ujenzi.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiwa katika moja...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA, APOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA KWA WADAU WA MICHEZO NCHINI KWA AJILI YA MASHINDANO YA KINONDONI CUP
10 years ago
Habarileo21 Apr
Halmashauri zahimizwa kutenga maeneo ya ujenzi
SERIKALI imezitaka halmashauri zote nchini kutenga maeneo mahususi kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za watumishi pamoja na wananchi wanaoishi katika maeneo husika.
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI MABULA ATAKA HALMASHAURI KUTENGA MAENEO YA UWEKEZAJI
Dkt Mabula alisema hayo jana katika mkutano wa Mashauriano baina ya Serikali na sekta binafsi kuhusiana na changamoto za uwekezaji katika mkoa wa Simiyu.Alisema, kuna maeneo mengi nchini ambayo miji inaendelea kwa kasi hivyo halmashauri kupitia Wakurugenzi wake zinapaswa kuhakikisha...
11 years ago
Mwananchi17 May
Serikali sasa kutenga maeneo ya wafugaji nchini
5 years ago
MichuziBARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATAKA UWEKEZAJI KWENYE VILIMA Na MAENEO YA WAZI
Aidha Baraza hilo likataka Taarifa za mikopo ilivyotolewa na fedha zilizorejeshwa na kuainishwa vikundi na kundi maalumu walionufaika na mikopo ya vijana na kinamama.
Akiongea kwenye kikao hicho Diwani wa kata ya Muriet Mbise alisema taarifa hiyo ipo sawa hivyo waendelee na mjadala...
10 years ago
Mwananchi14 Jul
Dk Magufuli amewasili viwanja vya Zakhiem, Mbagala kwa ajili ya kutambulishwa rasmi