Serikali yabanwa kukosa fedha za maendeleo
Wajumbe wa Kamati ya Bajeti wameishukia Serikali kwa kushindwa kupeleka fedha za maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini na kusababisha baadhi ya mambo ya muhimu kukwama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_dBr7FLEX24/Xm-b3vTzW7I/AAAAAAALj7w/xpnjaSq43qcGgvA3XmYan43tDIq0Xk4RACLcBGAsYHQ/s72-c/0c82b8ba-5145-42a8-a440-3531bad6450a.jpg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.
Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...
10 years ago
Mtanzania30 May
Serikali yashauriwa kutenga fedha nyingi za maendeleo
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
SERIKALI imeshauriwa kutenga kiasi kikubwa cha fedha za bajeti yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ushauri huo ulitolewa Dar es Salaam jana na wadau wa maendeleo walioshiriki katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum, uliojadili iwapo fedha zilizotengwa katika sekta ya elimu na afya ya uzazi zinakidhi.
Akizungumza katika mdahalo huo, Ofisa Utafiti na Uchambuzi na Sera wa HakiElimu, Makumba Mwenezi, alisema licha ya Serikali kutenga Sh...
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Islamic State yabanwa kupata fedha
10 years ago
Habarileo22 Oct
Serikali yabanwa, yapewa siku 30
SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuibana Serikali, ilipe deni la muda mrefu la Sh trilioni 8.4 kwa mashirika ya hifadhi ya jamii. Pia kamati hiyo imetoa mwezi mmoja kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhakikisha imekabidhi ripoti yake ya ukaguzi wa msamaha wa kodi inayotolewa na Serikali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Serikali yabanwa pensheni ya wazee
10 years ago
Habarileo18 Nov
Serikali yabanwa ukaguzi Benki ya Wanawake
WABUNGE jana waliibana Serikali wakidai kuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), fedha zake hazijakaguliwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), tangu kuanzishwa kwake.
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Serikali yabanwa dhana ya uvunaji maji
MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi, Asaa Othamn Hamad (CUF), ameitaka Serikali kueleza dhana ya uvunaji wa maji ya mvua imeishia wapi.
Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge huyo alisema kutokana na mabadiliko ya tabianchi, licha ya kujaliwa rasilimali kama misitu, mito na maziwa, bado kuna maeneo yanayorejesha nyuma shughuli za kilimo.
“Je ile dhana ya Serikali ya kuvuna maji ya mvua, imeishi wapi?” alihoji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, alisema kwa...
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Serikali yabanwa ilipe Sh8.4 tril mifuko ya hifadhi
10 years ago
VijimamboBENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA