Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yabanwa dhana ya uvunaji maji

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi, Asaa Othamn Hamad (CUF), ameitaka Serikali kueleza dhana ya uvunaji wa maji ya mvua imeishia wapi.
Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge huyo alisema kutokana na mabadiliko ya tabianchi, licha ya kujaliwa rasilimali kama misitu, mito na maziwa, bado kuna maeneo yanayorejesha nyuma shughuli za kilimo.
“Je ile dhana ya Serikali ya kuvuna maji ya mvua, imeishi wapi?” alihoji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, alisema kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM AZINDUA UVUNAJI MATIKITI MAJI MUWANDA ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua uvunaji wa matikiti maji kwa wakulima wa shehia ya Donge Muwanda.  Mkulima wa matikiti maji na pilipili boga Bw. Salum Khamis Kiregu akitoa maelezo mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais kuhusiana na changamoto zinazowakabili katika kilimo hicho. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na badhi ya wakulima wa Donge Mchangani na Muwanda, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” (kushoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AZINDUA UVUNAJI WA MATIKITI MAJI NA PILIPILI BOGA, SHEHIA YA DONGE MCHANGANI


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizindua uvunaji wa matikiti maji kwa wakulima wa shehia ya Donge Muwanda.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na badhi ya wakulima wa Donge Mchangani na Muwanda, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” (kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Affan Othman Maalim (wa pili kushoto). Picha na OMKR.

              Na: Hassan Hamad (OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Helvetas Swiss Intercooperation Tanzania lashauri uvunaji wa maji ya mvua kusaidia kilimo cha umwagiliaji Mkoani Singida

IMG_1760 (1)

Afisa tathimini wa shirika lisilo la kiserikali la Helvetas Tanzania, Shoma Nangale, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika juzi mjini hapa.Shoma ametoa wito kwa halmashauri za wilaya na manispaa, kuweka mikakati ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji cha mboga mboga.(Picha  na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

Halmashauri za wilaya na manispaa mkoani Singida zimehimizwa kuweka mikakati...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabanwa, yapewa siku 30

SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuibana Serikali, ilipe deni la muda mrefu la Sh trilioni 8.4 kwa mashirika ya hifadhi ya jamii. Pia kamati hiyo imetoa mwezi mmoja kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhakikisha imekabidhi ripoti yake ya ukaguzi wa msamaha wa kodi inayotolewa na Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali yabanwa pensheni ya wazee

Serikali imebanwa bungeni na kutakiwa kutoa majibu ya lini itaanzisha Mfuko wa Pensheni ya Wazee ili nao waboreshe maisha yao.

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu - Mafupa

Serikali yafanikiwa kudhibiti uvunaji haramu wa mazao ya misitu katika Hifadhi ya Msitu wa Mazingira asilia wa Chome (Shengena) Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro kwa kutumia ulinzi shirikishi unaohusisha vijiji 27 vinavyoizunguka hifadhi hiyo.
Hayo yamesemwa na Meneja wa Wakala wa huduma za Misitu Tanzania kanda ya Kaskazini (TFS) bw. Cuthbert Mafupa wakati wa ziara ya waandishi wa Habari waliotembelea hifadhi ya Chome na ile ya Amani iliyipo mkoani Tanga ili kujifunza na kuona hatua...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yabanwa kukosa fedha za maendeleo

Wajumbe wa Kamati ya Bajeti wameishukia Serikali kwa kushindwa kupeleka fedha za maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini na kusababisha baadhi ya mambo ya muhimu kukwama.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabanwa ukaguzi Benki ya Wanawake

WABUNGE jana waliibana Serikali wakidai kuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), fedha zake hazijakaguliwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), tangu kuanzishwa kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani