Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yabanwa, yapewa siku 30

SIKU moja baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuibana Serikali, ilipe deni la muda mrefu la Sh trilioni 8.4 kwa mashirika ya hifadhi ya jamii. Pia kamati hiyo imetoa mwezi mmoja kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kuhakikisha imekabidhi ripoti yake ya ukaguzi wa msamaha wa kodi inayotolewa na Serikali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali yabanwa pensheni ya wazee

Serikali imebanwa bungeni na kutakiwa kutoa majibu ya lini itaanzisha Mfuko wa Pensheni ya Wazee ili nao waboreshe maisha yao.

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yabanwa dhana ya uvunaji maji

MBUNGE wa Baraza la Wawakilishi, Asaa Othamn Hamad (CUF), ameitaka Serikali kueleza dhana ya uvunaji wa maji ya mvua imeishia wapi.
Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge huyo alisema kutokana na mabadiliko ya tabianchi, licha ya kujaliwa rasilimali kama misitu, mito na maziwa, bado kuna maeneo yanayorejesha nyuma shughuli za kilimo.
“Je ile dhana ya Serikali ya kuvuna maji ya mvua, imeishi wapi?” alihoji.
Akijibu swali hilo, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Mwijage, alisema kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yabanwa kukosa fedha za maendeleo

Wajumbe wa Kamati ya Bajeti wameishukia Serikali kwa kushindwa kupeleka fedha za maendeleo katika halmashauri mbalimbali nchini na kusababisha baadhi ya mambo ya muhimu kukwama.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yabanwa ukaguzi Benki ya Wanawake

WABUNGE jana waliibana Serikali wakidai kuwa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), fedha zake hazijakaguliwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), tangu kuanzishwa kwake.

 

9 years ago

Mwananchi

IMTU yapewa siku 14 kuhama majengo ya NDC

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Teknolojia na Tiba (IMTU), kimeingia katika sakata jipya la kuamriwa kuhama ndani ya siku 14 kutokana na kushindwa kulipa kodi ya zaidi ya Sh3 bilioni.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yabanwa ilipe Sh8.4 tril mifuko ya hifadhi

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeamua kuibana Serikali ilipe deni la Sh8.43 trilioni inalodaiwa na mifuko ya hifadhi ya Jamii ili kuinusuru.

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapewa siku mbili kukabidhi mikataba ya gesi

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelipa siku mbili Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), kuhakikisha inakabidhi mikataba na taarifa ya mikataba ya gesi kwa Katibu wa Bunge. Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya TPDC kushindwa kutekeleza maagizo ya kamati hiyo iliyotoa takribani mwaka mmoja, hivyo kushindwa kuendelea kupitia hesabu za shirika hilo za mwaka 2012/13.

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yapewa hekta 360 za ardhi

Mgogoro wa kugombea ardhi katika eneo la Mashewa Wilaya ya Korogwe umepatiwa ufumbuzi baada ya Kampuni ya Katani Limited kuipa Serikali hekta 360 ilizokuwa zikimiliki kupitia shamba lake la Magoma Kulasi Estate.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapewa mabilioni kuboresha bandari

Zaidi ya Sh 1.2 trilioni zimetolewa na wadau wa maendeleo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam inayofanywa chini ya Mpango wa Matokeo Mkubwa (BRN)sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani