TPDC yapewa siku mbili kukabidhi mikataba ya gesi
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelipa siku mbili Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), kuhakikisha inakabidhi mikataba na taarifa ya mikataba ya gesi kwa Katibu wa Bunge. Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya TPDC kushindwa kutekeleza maagizo ya kamati hiyo iliyotoa takribani mwaka mmoja, hivyo kushindwa kuendelea kupitia hesabu za shirika hilo za mwaka 2012/13.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Bunge laitaka TPDC kukabidhi mikataba 26
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Mikataba ya gesi yawaponza vigogo TPDC
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Michael Mwanda, jana wameshikiliwa na Jeshi...
10 years ago
Mwananchi01 Oct
TPDC yapewa nguvu kuagiza mafuta ya akiba
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-U7XwKbp4ikE/UzM771rcUPI/AAAAAAAFWto/h-Fhr48uwFY/s72-c/unnamed+(20).jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA NCHI ZA AFRIKA KUANZISHA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI KATIKA VYUO VYA UFUNDI STADI
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VBVX8fvu9bU/VnACjuZo61I/AAAAAAAIMjg/5SLSef5wXyg/s72-c/0dd85f74-335b-451e-a793-8a1050952f29.jpeg)
TPDC: Gesi asilia ipo na ziada
Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Mradi wa gesi ‘waikuna’ Bodi Wakurugenzi TPDC
BODI ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), imeridhishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa miundombinu ya gesi asilia ambayo imekamilika kwa asilimia 95.
10 years ago
Mtanzania06 Jan
AG MASAJU: Nitaanza na mikataba ya gesi
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju, amesema anataka muda zaidi ili aweze kuzungumzia suala la Kampuni ya Kufua Umeme Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na mikataba ya gesi ambayo imekuwa ikitakiwa kuwekwa wazi.
Masaju aliyasema hayo jana, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuchukua nafasi ya Jaji Frederick Werema, aliyejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye...
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Lowassa: Nitapitia mikataba ya gesi
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema kama akichaguliwa kuwa rais, ataunda tume ya kuchunguza na kushughulikia mikataba yote ya gesi.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara jana, Lowassa alisema kama wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza Tanzania, atakahakikisha wanapatikana wataalamu kutoka ndani na nje ya nchi...