Bunge laitaka TPDC kukabidhi mikataba 26
Ofisi ya Bunge imeutaka uongozi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwasilisha mikataba 26 kwa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo saa 4:00 asubuhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo28 Oct
TPDC yapewa siku mbili kukabidhi mikataba ya gesi
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelipa siku mbili Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), kuhakikisha inakabidhi mikataba na taarifa ya mikataba ya gesi kwa Katibu wa Bunge. Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya TPDC kushindwa kutekeleza maagizo ya kamati hiyo iliyotoa takribani mwaka mmoja, hivyo kushindwa kuendelea kupitia hesabu za shirika hilo za mwaka 2012/13.
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Mikataba ya gesi yawaponza vigogo TPDC
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Michael Mwanda, jana wameshikiliwa na Jeshi...
10 years ago
Uhuru Newspaper05 Mar
Bunge laitaka serikali kulipa fidia Kipunguni
NA EMMANUEL MOHAMEDKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), kuharakisha malipo ya fidia kwa wananchi wa eneo la Kipunguni, Dar es Saalam kabla ya kuanza kwa vikao vya Bajeti vya Bunge. Imesema kuendelea kucheweleshwa kwa juhudi za kulipa fidia hiyo inahatarisha kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa jengo jipya la abiria (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Awali, wananchi wa eneo hilo walitakiwa...
10 years ago
Michuzi03 Nov
Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.
Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QcaYMABiclk/U0Vp5elv8ZI/AAAAAAAFZh8/FUKuTS2X4cI/s72-c/unnamed+(50).jpg)
kamati za bunge maalum la katiba zaanza kukabidhi ripoti
![](http://1.bp.blogspot.com/-QcaYMABiclk/U0Vp5elv8ZI/AAAAAAAFZh8/FUKuTS2X4cI/s1600/unnamed+(50).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nswXbWOCT6U/U0VojxPNmlI/AAAAAAAFZhg/4mFy2En4i0o/s1600/unnamed+(48).jpg)
10 years ago
Mwananchi09 Nov
Nahodha: Mikataba yote ipitishwe na Bunge
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Katiba ije na sheria ya Bunge kuidhinisha mikataba yote
10 years ago
StarTV28 Jan
JUKATA laitaka Tanzania kuiga mfumo wa Zambia.
Na Immaculate Kilulya,
Dar es Salaam.
Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA limesema Tanzania inapaswa kuiga mfumo wa Serikali ya Zambia wa kupima afya za wagombea wa Urais na nafasi nyeti serikalini na majibu yao kutangazwa hadharani ili kuondoa tatizo la viongozi kufariki dunia wakiwa madarakani.
JUKATA inasema viongozi wa juu barani Afrika wamekuwa wakifariki wakiwa madarakani kutokana na magonjwa mbalimbali na kusababisha chaguzi kurudiwa hivyo kuathiri uchumi wa nchi hizo.
Zambia ni...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Daraja Letu laitaka serikali kuondoa vitabu
SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la Daraja Letu, limeitaka serikali kuviondoa vitabu vyenye mkanganyiko ili kuweka sawa mitaala na muhtasari inayozingatia mazingira ya sasa kielimu. Daraja Letu pia imeitaka serikali kuchukua...