kamati za bunge maalum la katiba zaanza kukabidhi ripoti
![](http://1.bp.blogspot.com/-QcaYMABiclk/U0Vp5elv8ZI/AAAAAAAFZh8/FUKuTS2X4cI/s72-c/unnamed+(50).jpg)
Profesa Nehemia Ossoro (wa tatu kulkia) ambaye ni mwataaluma aliyeko Taasisi ya Utafiti ya Umoja wa Vyuo Vikuu vya Afrika ya Mashariki na Kusini (ESAURP akifafanua kuhusu suala la gharama ya serikali tatu(shirikishi) leo kutokana kuwa haina vyanzo vya mapato kwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe Samia Suluhu Hassan, ambaye hayupo pichani.
Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Kidawa Hamid Salehe( kulia)akimkabidhi Makamu Mwenyekiti wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Dewji Blog19 Aug
Kamati za Bunge Maalum la Katiba zaendelea kukutana mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Kamati Namba 12 ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Paul Kimiti (katikati) akijadiliana jambo na baadhi ya wajumbe wa Kamati yake yake leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.
11 years ago
Dewji Blog18 Apr
Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba yakutana kujadili namna ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalum la Katiba Pande Ameir Kificho akitoa mchango wake wakati wa kikao cha Kamati hiyo leo mjini Dodoma, kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10