Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC yapewa nguvu kuagiza mafuta ya akiba

Dar es Salaam. Hofu imetanda kuwa endapo Serikali itapitisha mpango mpya kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) kuleta mafuta ya akiba nchini, bei za mafuta zitafumuka na kuwaumiza Watanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.



Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.

Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.

Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapewa siku mbili kukabidhi mikataba ya gesi

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelipa siku mbili Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), kuhakikisha inakabidhi mikataba na taarifa ya mikataba ya gesi kwa Katibu wa Bunge. Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya TPDC kushindwa kutekeleza maagizo ya kamati hiyo iliyotoa takribani mwaka mmoja, hivyo kushindwa kuendelea kupitia hesabu za shirika hilo za mwaka 2012/13.

 

9 years ago

Habarileo

TPDC yaanza utafiti mpya wa mafuta na gesi Eyasi

SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) leo linatarajiwa kuanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Eyasi, Wembere na Mandawa . Utafiti huu wa awali, unatajwa kwamba utafanyika pia katika mikoa ya Arusha, Singida, Simiyu, Tabora na Lindi.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC kuendesha utafiti wa mafuta na gesi kwa ndege

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio akuzungumza na waandishi wa habari (hapo pichani) kuhusu ujio wa ndege ya utafiti wa awali wa mafuta na gesi asilia kwa kutumia ndege katika Kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini, Mkurugenzi wa undelezaji wa mafuta na gesi asilia Dkt. Wellngton Hudson (kulia) mkutano huo ulifanyika makao makuu ya TPDC mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakimsikiliza...

 

9 years ago

Habarileo

TPDC kuanza utafiti mafuta, gesi wiki hii

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wiki hii litaanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi nchini kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini.

 

10 years ago

Michuzi

TPDC yakutanisha wadau kujadili sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo

Kamishna Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo ililenga kutoa taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya mafuta na gesi kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na waandishi wa habari, semina hiyo iliyofanyika Bagamoyo. Wadau wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini mtoa mada (hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Michuzi

TPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali bado haijaruhusu kuagiza kuku

>Serikali imesisitiza uamuzi wake wa kupiga marufuku uingizwaji nchini wa kuku, nyama ya kuku na vifaranga ili kudhibiti ugonjwa ya mafua ya ndege na kulinda wawekezaji wa ndani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani