Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali bado haijaruhusu kuagiza kuku

>Serikali imesisitiza uamuzi wake wa kupiga marufuku uingizwaji nchini wa kuku, nyama ya kuku na vifaranga ili kudhibiti ugonjwa ya mafua ya ndege na kulinda wawekezaji wa ndani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video)

Kuna stori huwa zinagonga vichwa vya habari na kutawala masikioni mwa wengi kwa sababu tu ya aina ya tukio lenyewe… pata picha ndio jana hiyo Christmas unamchinja kuku wa kitoweo alafu bado anatembea kama hajachinjwa hivi !! Hii ishu iliwahi kutawala sana mitandaoni huku wengine wakihusisha na imani za kishirikina, kuku kachinjwa kwa ajili ya […]

The post Kuku kagoma kuliwa Christmas ??!! Cheki na hii, amechinjwa lakini bado anatembea.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.

Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUWEKA UTARATIBU UTAKAOWEZESHA TAASISI ZA UMMA NA WATU BINAFSI KUACHA KUAGIZA KADI ZA KIELETRONIKI NJE YA NCHI


MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati alipotembelea Kiwanda cha Kuzalisha Vocha na Kadi mbalimbali kilichopo cha Rushabh Investment Limited cha Jijini Tanga wakati wa ziara yake kuona namna wanavyoendelea na uzalishaji kulia ni Mwekezaji wa Kiwanda hicho Rashid Liemba.
Mkoa wa Tanga Martine Shigella kushoto akikagua kadi mbalimbali ikiwemo za Kadi za Mpiga kura,Benki na Kadi za NHIF na vyenginezo zilizokuwa zikitoka kwenye mashine za kutengenezea kwenye kiwanda cha...

 

5 years ago

Michuzi

CORONA YASABABISHA WAFANYABIASHARA KUCHELEWA KUAGIZA SUKARI KWA WAKATI, SERIKALI YAINGILIA KATI YATATUA CHANGAMOTO HIYO - WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) akitoa ufafanuzi juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya sukari nchini, Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma


Serikali imewahakikishia watanzania kuwa hakuna upungufu wa sukari Tanzania hivyo wananchi hawapaswi kuwa na wasiwasi wa aina yoyote ile.


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa (Mb) ameyasema hayo Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili 2020 wakati akitoa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanahabari wametimiza bado Serikali

Vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), vimeendelea kufanyika nchini. Ndani ya kipindi cha siku 50 watoto wawili albino wametekwa, Yohana Bahati aliyetekwa mkoani Geita na Pendo Emmanuel aliyetekwa mkoani Mwanza.

 

10 years ago

Bongo5

AT: Wasanii bado tunahitaji support ya serikali

Staa wa muziki wa mduara nchini, AT, amesema anaona bado kuna umuhimu mkubwa wa serikali kutoa support kwaajili ya kuwatangaza wasanii na kazi zao nje ya nchi kutokana na utajiri mkubwa na utofauti wa muziki wa Tanzania. AT ametoa wito huo kupitia kipindi cha E-Newz cha EATV. “Unajua kama ambavyo Rais alivyoweza kuonesha support kwa […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyika: Uchaguzi serikali za mitaa bado

NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema-Bara), John Mnyika, amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuacha kuwapotosha wananchi kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa umekwishafanyika na viongozi wake...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali bado haijatoa Sh.143 bil Kigamboni

Serikali imeingia kwenye lawama ikidaiwa kukwamisha kasi ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni kutokana na kushindwa kutoa Sh.143.5 bilioni sawa na asilimia 40 ya fedha za mradi huo hadi kukamilika.

 

9 years ago

Mtanzania

Serikali yampa baraka Samatta, bado Mazembe

 

napeNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, amepata  baraka kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye, huku akisubiri ruhusa na baraka za aina hiyo kutoka kwa viongozi na mabosi wa klabu yake ya TP Mazembe ili aweze kujiunga kuichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.

Samatta aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, mara baada ya kumaliza mazungumzo na Waziri huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani