Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC kuanza utafiti mafuta, gesi wiki hii

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wiki hii litaanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi nchini kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

TPDC yaanza utafiti mpya wa mafuta na gesi Eyasi

SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) leo linatarajiwa kuanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Eyasi, Wembere na Mandawa . Utafiti huu wa awali, unatajwa kwamba utafanyika pia katika mikoa ya Arusha, Singida, Simiyu, Tabora na Lindi.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC kuendesha utafiti wa mafuta na gesi kwa ndege

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio akuzungumza na waandishi wa habari (hapo pichani) kuhusu ujio wa ndege ya utafiti wa awali wa mafuta na gesi asilia kwa kutumia ndege katika Kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini, Mkurugenzi wa undelezaji wa mafuta na gesi asilia Dkt. Wellngton Hudson (kulia) mkutano huo ulifanyika makao makuu ya TPDC mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakimsikiliza...

 

10 years ago

Michuzi

TPDC yakutanisha wadau kujadili sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo

Kamishna Msaidizi wa Gesi, Mhandisi, Nobert Kahyoza, akifungua semina ya TPDC kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini. Semina hiyo ililenga kutoa taarifa muhimu zinazo hitajika kwa wadau katika sekta ya mafuta na gesi kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo wizara, taasisi na waandishi wa habari, semina hiyo iliyofanyika Bagamoyo. Wadau wa sekta ya mafuta na gesi walioshiriki semina wakifutilia kwa makini mtoa mada (hayupo pichani) katika semina hiyo Bagamoyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Utafiti wa Swala kusaidia upatikanaji wa mafuta, gesi

KAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala imetoa ushahidi mafanikio ya utafiti uliofanyika katika bonde la Kilombero wilayani Kilosa ambapo matokeo hayo yatatasaidia kurahisisha kazi ya uchimbaji visima mwaka 2015....

 

11 years ago

Michuzi

TPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile (kulia), akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu uchimbaji wa gesi na mafuta. Kutoka kushoto ni Rais wa Umoja wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam, Jane Mihanje na Mkurugenzi mstaafu wa TPDC, Yona Killagane.Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Mikakati wa TPDC, Dk.Wellington Hudson, akitoa mada katika semina hiyo.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli...

 

10 years ago

Dewji Blog

Onyesho la Coke Studio kuanza Jumamosi wiki hii

Screen Shot 2015-10-06 at 1.23.45 PM

-Wasanii wa Tanzania Ali Kiba,Fid Q na Vanessa kuwasha moto

 Wasanii nguli kutoka Tanzania wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya  burudani ya muziki maarufu kwa jina la  Coke Studio Afrika ambalo litaanza Jumamosi wiki hii .Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani “Kolabo”na litarushwa na kituo cha televisheni cha Clouds kuanzia saa 12  jioni.

Meneja wa Biashara za Coca-Cola...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI TMT KUANZA KUPIGIWA KURA WIKI HII‏

Washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) wakiwa jukwaani wakati wakiigiza moja ya igizo walilopewa na mwalimu wao Dk. Mona Mwakalinga katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jumanne iliyopita. Igizo hilo ni la kwanza kwa ajili ya mchujo kwa washiriki.
Vijana wakiwajibika katika jukwaa kwa ajili ya kuwania tiketi ya kuzisaka milioni 50 za Kitanzania katika fainali itakayofanyika mwisho wa mwezi Agosti...

 

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA BASEBALL KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA WIKI HII JIJINI DAR.

Na Nyakongo Manyama- MAELEZO.MASHINDANO ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanatarajiwa kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Amesema kuwa mashindano yatashirikisha timu tisa kutoka Tanzania bara na Visiwani na yanatarajiwa kufunguliwa na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida.
Kwa mujibu wa Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani