Onyesho la Coke Studio kuanza Jumamosi wiki hii
-Wasanii wa Tanzania Ali Kiba,Fid Q na Vanessa kuwasha moto
Wasanii nguli kutoka Tanzania wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya burudani ya muziki maarufu kwa jina la Coke Studio Afrika ambalo litaanza Jumamosi wiki hii .Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani “Kolabo”na litarushwa na kituo cha televisheni cha Clouds kuanzia saa 12 jioni.
Meneja wa Biashara za Coca-Cola...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Nov
Wyclef Jean kutumbuiza jukwaa moja na Shaa, Chidinma kwenye finali za Coke Studio, Kenya Jumamosi hii
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Onyesho la Coke Studio lazidi kupaisha mafanikio yangu-Ali Kiba
Ali Kiba na Victoria Kimani wakishambulia jukwaa ndani ya Coke Studio.
–Awataka wasanii wachanga kujituma ili waweze kushiriki kwenye onyesho kama hili
Na Mwandishi wetu
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema moja ya mafanikio anayojivunia nayo katika kazi ya muziki kwa mwaka huu ni ushiriki wake katika onyesho la Coke Studio msimu wa tatu.
Ali Kiba ambaye amefanya kolabo kwa kushirikiana na mwanamuziki wa kike anayetamba katika anga ya muziki wa Bongo Fleva...
11 years ago
MichuziMASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUHAMIA KANDA YA KATI MKOANI DODOMA, ZOEZI LA KUTAFUTA WASHINDI KUANZA JUMAMOSI YA WIKI HII
Promotions Limited - Mwanza Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza.
Katika Kanda ya Kati mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya tarehe...
10 years ago
CloudsFM26 Nov
DJ BULLA NDANI YA BBA WIKI JUMAMOSI HII
Dj kutoka Clouds FM,Dj Bullah wiki hii atakuwa ndani ya jumba la Big Brother weekend hii nchini Afrika Kusini kuwapa burudani washiriki wa shindano hilo.
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI KUANZA JUMAMOSI HII - JAN 24, 2015
I would like to inform you that the first Swahili class will be on Saturday January 24 2015 from 3:00pm - 5:00pm. We will meet at White Oak Community Recreation Center located at 1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904. You can call the community center for inclement weather and closures ONLY at (240) 777-6940.
Any question about the Swahili class please call
Iddy - President at (301) 613‑5165Harriet- Vice President (240) 672‑1788Asha -Instructor (301) 793-2833Bernadeta - Vice...
10 years ago
Vijimambo
MEMBE KUTANGAZA NIA YA URAIS JUMAMOSI WIKI HII

Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo, Juni 6, mwaka huu, na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.
Waziri Membe ambaye hajatangaza...
9 years ago
Habarileo16 Nov
TPDC kuanza utafiti mafuta, gesi wiki hii
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wiki hii litaanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi nchini kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini.
11 years ago
Michuzi.jpg)
11 years ago
GPLWASHIRIKI TMT KUANZA KUPIGIWA KURA WIKI HII