Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DJ BULLA NDANI YA BBA WIKI JUMAMOSI HII

Dj kutoka Clouds FM,Dj Bullah wiki hii atakuwa ndani ya jumba la Big Brother weekend hii nchini Afrika Kusini kuwapa burudani washiriki wa shindano hilo.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Onyesho la Coke Studio kuanza Jumamosi wiki hii

Screen Shot 2015-10-06 at 1.23.45 PM

-Wasanii wa Tanzania Ali Kiba,Fid Q na Vanessa kuwasha moto

 Wasanii nguli kutoka Tanzania wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya  burudani ya muziki maarufu kwa jina la  Coke Studio Afrika ambalo litaanza Jumamosi wiki hii .Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani “Kolabo”na litarushwa na kituo cha televisheni cha Clouds kuanzia saa 12  jioni.

Meneja wa Biashara za Coca-Cola...

 

10 years ago

Vijimambo

MEMBE KUTANGAZA NIA YA URAIS JUMAMOSI WIKI HII


Na theNkoromo Blog WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa  Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo,  Juni 6, mwaka huu,  na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.

Waziri Membe ambaye hajatangaza...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tanzania Movie Talents kutua Dodoma kusaka vipaji Jumamosi ya wiki hii

Untitled

Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mwanza

Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza katika Kanda ya Kati ambapo mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya...

 

11 years ago

Michuzi

Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii

Haika Lawere akiwa tayari kwa mahojiano na Kwanza Production ya Washington DC  Katika NJE-NDANI ya Kwanza Production na Border Radio wiki hii, mbali na habari kuhusu Afrika, utasikia mahojiano yangu na Haika Lawere. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania Amekuwa mkarimu sana kujiunga nami hapa Maryland USA kuzungumza mengi kuhusu maisha na ujasiriamali. Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC
Photo...

 

11 years ago

Michuzi

Katika "HUYU NA YULE" ya NJE-NDANI wiki hii...

Photo Credits: Bongo Celebrity  Katika NJE NDANI wiki hii, mbali na habari kutoka Afrika, utasikia mahojiano yangu na NURU THE LIGHT. Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nami kutoka Stockholm Sweden Kazungumza mengi mema Jiunge nami, MUBELWA BANDIO Jumamosi (June 28) katika NJE NDANI ya Kwanza Production na Border Radio kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kwa saa za Marekani ya mashariki kupitia www.kwanzaproduction.com ama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanza Ku-Jembeka na Sauti SOL Jumamosi hii Feb 21 ndani ya Jembe Beach

300 x 150m

Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina ‘JEMBEKA’ unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota cha burudani cha kitalii Jembe Beach Mwanza.

Burudani itakayo fungua mpango huo wa ‘JEMBEKA’ ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.

Vijana wa Nyumbani JJ Band...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani