Katika "HUYU NA YULE" ya NJE-NDANI wiki hii...

Photo Credits: Bongo Celebrity
Katika NJE NDANI wiki hii, mbali na habari kutoka Afrika, utasikia mahojiano yangu na NURU THE LIGHT.
Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nami kutoka Stockholm Sweden
Kazungumza mengi mema
Jiunge nami, MUBELWA BANDIO Jumamosi (June 28) katika NJE NDANI ya Kwanza Production na Border Radio kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kwa saa za Marekani ya mashariki kupitia www.kwanzaproduction.com ama...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI wiki hii

Katika NJE-NDANI wiki hii kati ya utakayosikia mahojiano na Fabian Lwamba Mmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana.

11 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
Katika kipindi cha "HUYU NA YULE" kesho (Jumatatu), usikose kujua UNDANI wa maisha ya Linda

11 years ago
CloudsFM29 May
YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Baraza la Mawaziri ni sheikh yule yule katika kanzu mpya!
WASWAHILI watakuambia ni sheikh yule yule ndani ya kanzu mpya. Wazungu watakuambia ni mvinyo ule ule kwenye chupa mpya. Naam, hilo ndilo Baraza la Mawaziri lililorekebishwa. Watu walikuwa macho wazi...
10 years ago
CloudsFM26 Nov
DJ BULLA NDANI YA BBA WIKI JUMAMOSI HII
Dj kutoka Clouds FM,Dj Bullah wiki hii atakuwa ndani ya jumba la Big Brother weekend hii nchini Afrika Kusini kuwapa burudani washiriki wa shindano hilo.
10 years ago
Vijimambo
Huyu na Yule...........Mahojiano na Dr na Mama Williams

Waasisi wa AHEAD Inc. Taasisi ambayo iliasisiwa mwaka 1985 na inajishughulisha kubadili maisha ya wengi nchini Tanzania kupitia Elimu, Stadi za Maisha, Afya ya Mama na Mtoto na pia kuzisaidia jamii mbalimbali..
Wamezungumzia mengi kuhusu namna walivyofika Tanzania kwa mara ya kwanza 1974. Kilichowapeleka, walivyoamua kubaki huko mpaka sasa, shughuli za Taasisi yao na mengine mengi
Karibu
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog...
10 years ago
Michuzi
HUYU NA YULE........Mahojiano na Dr Talib Ali

10 years ago
Vijimambo
HUYU NA YULE.......Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Daktari wa mahgonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani
Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es Salaam
Ameeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake.
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana...