Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI wiki hii

Mubelwa Bandio akimhoji Fabian Lwamba wa KRYSTAAL
Katika NJE-NDANI wiki hii kati ya utakayosikia mahojiano na Fabian Lwamba Mmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana. Michael, Fabian na Alistone Lwamba wanaounda kundi la KRYSTAAL Walikuja kuungana Canada ambako kwa miaka 16 wamekuwa pamoja kama kundi la muziki wa injili Wametoa albamu 6 na kupata tuzo 26 Pia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii

Haika Lawere akiwa tayari kwa mahojiano na Kwanza Production ya Washington DC  Katika NJE-NDANI ya Kwanza Production na Border Radio wiki hii, mbali na habari kuhusu Afrika, utasikia mahojiano yangu na Haika Lawere. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania Amekuwa mkarimu sana kujiunga nami hapa Maryland USA kuzungumza mengi kuhusu maisha na ujasiriamali. Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC
Photo...

 

11 years ago

Michuzi

Katika "HUYU NA YULE" ya NJE-NDANI wiki hii...

Photo Credits: Bongo Celebrity  Katika NJE NDANI wiki hii, mbali na habari kutoka Afrika, utasikia mahojiano yangu na NURU THE LIGHT. Msanii, Mjasiriamali, Mtangazaji, Blogger na Mwanaharakati ambaye amekuwa mkarimu sana kujiunga nami kutoka Stockholm Sweden Kazungumza mengi mema Jiunge nami, MUBELWA BANDIO Jumamosi (June 28) katika NJE NDANI ya Kwanza Production na Border Radio kuanzia saa sita mpaka saa nane mchana kwa saa za Marekani ya mashariki kupitia www.kwanzaproduction.com ama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Usikose kipindi kipya cha luninga ‘Nyumbani na Diaspora’ kinachoendeshwa na Maggid Mjengwa kila Ijumaa ndani ya TBC 1

Mjengwa

Nyumbani na Diaspora!

Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu.

Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa.

Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa.

 Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya  kiuchumi,...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

Kipindi cha JUKWAA LANGU Jumatatu wiki hii (Aug 10, 2015)

Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii, tulijadili kuhusu kung'atuka uongozi kwa Prof Ibrahimu Lipumba na pia kukua kwa ufuasi kwa mgombea uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa.
Pia, hotuba ya Zitto Kabwe huko Iringa, na mengine mengi
Ungana na Dj Luke Joe (wa hapa), Rose Chitallah, Shamis Abdul (wa hapa) na Mubelwa Bandio (wa hapa) toka Kilimanjaro Studio, Beltsville Maryland na Jeff Msangi (msome hapa) kutoka Toronto Canada kujadili haya.
Pia, kulikuwa na simu za...

 

9 years ago

Bongo5

Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky wiki hii kikiwa na Young Killer

Kwenye Chill na Sky wiki hii, Sky amepiga story na rapper Young Killer. Kuna mengi mchizi kayaongea kuhusiana na safari yake muziki, maisha baada ya kuhamia Dar, mafanikio aliyoyapata hadi sasa, uhusiano wake na mpenzi wake Halimaty Adam aka Miss Hip Hop, na issue zingine kibao. CHILL NA SKY INASIKIKA PIA KUPITIA: ABM Radio (Dodoma) […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani