Kipindi cha JUKWAA LANGU Jumatatu wiki hii (Aug 10, 2015)
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii, tulijadili kuhusu kung'atuka uongozi kwa Prof Ibrahimu Lipumba na pia kukua kwa ufuasi kwa mgombea uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Edward Lowassa.
Pia, hotuba ya Zitto Kabwe huko Iringa, na mengine mengi
Ungana na Dj Luke Joe (wa hapa), Rose Chitallah, Shamis Abdul (wa hapa) na Mubelwa Bandio (wa hapa) toka Kilimanjaro Studio, Beltsville Maryland na Jeff Msangi (msome hapa) kutoka Toronto Canada kujadili haya.
Pia, kulikuwa na simu za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboKipindi cha JUKWAA LANGU. Jumatatu Agosti 24, 2015
Hii ni sehemu ya kwanza ya kipindi kilichosikika Agosti 24, 2015
Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Agosti 24, 2015
9 years ago
VijimamboKipindi cha JUKWAA LANGU Sept 28 2015 (FULL) KILA SIKU YA LEO JUMATATU KUANZIA SAA 12 JIONI ET USIKOSE
Hiki ni kipindi kilichosikika Septemba 28, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Liberatus Mwang'ombe. Mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa tiketi ya CHADEMA
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, na kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU
10 years ago
VijimamboKIPINDI CHA JUKWAA LANGU KINACHORUSHWA LIVE KILA SIKU YA JUMATATU
Piga simu 240 281 0574 utuambie ni nini maoni yako kwa...
10 years ago
VijimamboKipindi cha JUKWAA LANGU, Julai 13, 2015
Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali akiwemo Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Ndg. Nape Nnauye kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU
9 years ago
VijimamboKipindi cha JUKWAA LANGU Oct 5 2015
Katika kipindi cha wiki hii, mbali na habari mbalimbali zilizotawala vyombo vya habari, pia wasikilizaji walipata nafasi ya kutoa maoni kulingana na mambo mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania
KARIBU
9 years ago
VijimamboKipindi cha Jukwaa Langu Sep 21 2015
Hii ni sehemu ya kwanza ya kipindi kilichosikika Septemba 21, 2015 ambapo mbali na waongozaji Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio, pia walikuwepo Georgina Lema, NY Ibra na Dr Temba toka New York.
Kutoka Tanzania tuliungana na Richard Kasesela
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 21, 2015 ambapo mbali na waongozaji Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio, pia walikuwepo Georgina...
9 years ago
MichuziKipindi cha Jukwaa Langu Okt 26 2015
Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa jana Oktoba 25, 2015
9 years ago
GPLKIPINDI CHA JUKWAA LANGU OCT 19 2015
9 years ago
VijimamboKipindi cha Jukwaa Langu Agosti 17 2015
Katika kipindi hiki utasikia mjadala wetu na wageni Jeff Msangi toka Toronto Canada na Darmatus Nambai aliyehudhuria studio kuhusu DEMOKRASIA na MABADILIKO kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU