KIPINDI CHA JUKWAA LANGU OCT 19 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015 Ni kipindi cha mwisho kabla ya uchaguzi, na washiriki wengi walishiriki kutoa mchango wao kuhusu mchakato ulivyokuwa, na neno ama wosia wao kwa waTanzania wote KARIBU…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha JUKWAA LANGU Oct 5 2015

Katika kipindi cha wiki hii, mbali na habari mbalimbali zilizotawala vyombo vya habari, pia wasikilizaji walipata nafasi ya kutoa maoni kulingana na mambo mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania
KARIBU
10 years ago
Michuzi
KIPINDI CHA JUKWAA LANGU OCT 19 2015 (FULL)

10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha JUKWAA LANGU, Julai 13, 2015

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali akiwemo Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Ndg. Nape Nnauye kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Jukwaa Langu Sep 21 2015

Hii ni sehemu ya kwanza ya kipindi kilichosikika Septemba 21, 2015 ambapo mbali na waongozaji Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio, pia walikuwepo Georgina Lema, NY Ibra na Dr Temba toka New York.
Kutoka Tanzania tuliungana na Richard Kasesela
Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 21, 2015 ambapo mbali na waongozaji Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio, pia walikuwepo Georgina...
10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Jukwaa Langu Agosti 17 2015

Katika kipindi hiki utasikia mjadala wetu na wageni Jeff Msangi toka Toronto Canada na Darmatus Nambai aliyehudhuria studio kuhusu DEMOKRASIA na MABADILIKO kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU
10 years ago
Michuzi
Kipindi cha Jukwaa Langu Okt 26 2015

Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015Na leo, tulizungumzia Tanzania baada ya Uchaguzi wa jana Oktoba 25, 2015
10 years ago
Vijimambo
[AUDIO]: Kipindi cha JUKWAA LANGU Sept 14 2015

Hii ni sehemu ya pili ya kipindi kilichosikika Septemba 14, 2015
Kutoka Tanzania tuliungana na Jonathan Samiya na Nyakia, ambaye ni mmoja wa wakuu wa Itifaki wa kampeni za Dr Magufuli
Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, Clare Ng'owo, Ali Badawy na Shamis Abdulla
Kwenye line tulikuwa na Jeff Msangi, Dr Patrick Nhigula na Arthur
9 years ago
Michuzi
[AUDIO]: Kipindi cha Jukwaa Langu Nov 9 2015

10 years ago
Vijimambo
Kipindi cha Jukwaa Langu Julai 27 2015 (FULL)

Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali kuhusu DEMOKRASIA kuelekea uchaguzi nchini Tanzania
KARIBU
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania